Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Nafikiri ni destuliKwahiyo uvivu?
Nadhani labda wanawaacha kwa 'day care'Wenzetu wanawaacha watoto na nani maana nao wanakazi?
Nna ndugu yangu aliendaga huko majuu yee hanaga mfanya kazi akarudi TZ na ujuzi wa kupika msosi wa wiki nzima alafu unapaki kwenye vicontena vdogovdogo then unagandisha mkitaka kula mnakitoa kimoja kama ni cha maharage na kingine cha nyama then kazi ni kusonga tuu ugali ama kupika wali.Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa.
Kwanini familia za waafrika bila dada wa kazi au housegirl mambo hayaendi?
Mke atalalamika, nyumba itakuwa chafu, chakula hakitaiva kwa wakati yaani mambo yote yatakuwa vurumai.
Lakini ukiangalia wenzetu walioendelea familia nyingi ni baba, mama na watoto na wote wanajituma katika majukumu yao.
Ni familia chache za matajiri sana wenye mansions ndio utakuta kuna maids.
Je ni uvivu?
Je ni kwasababu wanapatikana kwa bei chee?
Ni tabia zetu tu kupenda ubwanyenye?
Kwahiyo unataka historia ya gesi na umeme?
Huku huo ni mshahara wa miezi 10.
Hapo ujaweka gharama ya kuendesha hio mashine ya kufulia.
Unafikiri kwa taratibu za uajiri za hao wasaidizi wa ndani kwa ulaya zingewekwa hapa kwetu naona kabisa hakuna ambaye angeajiri hao wasaidizi labda matajiri...
Nadhani labda wanawaacha kwa 'day care'
Nchi zilizoendelea Matajiri Wana maids hata watano. Ila Hawa wanaishi kwenye vijumba vyao häwana nafasi, Wanaishi Maisha madogo sana yasio na furaha wanateseka mnoNimekuwa nikitafakari kwa muda sasa.
Kwanini familia za waafrika bila dada wa kazi au housegirl mambo hayaendi?
Mke atalalamika, nyumba itakuwa chafu, chakula hakitaiva kwa wakati yaani mambo yote yatakuwa vurumai.
Lakini ukiangalia wenzetu walioendelea familia nyingi ni baba, mama na watoto na wote wanajituma katika majukumu yao.
Ni familia chache za matajiri sana wenye mansions ndio utakuta kuna maids.
Je ni uvivu?
Je ni kwasababu wanapatikana kwa bei chee?
Ni tabia zetu tu kupenda ubwanyenye?
Umemaliza kila kitu.Hizo familia zilizoendelea hawatumii mkaa kupika Wala masufuria dhaifu ya aluminum yanayopoteza mvuke.
Pia hawafui nguo kwa mikono, Wala hawaendi umbali mrefu kutafuta maji.
Nayo pointi ndugu! Alah. Yaani baharia hana nyege?!Miafrika tuna roho mbaya sana....alafu ontop lf that tunawanyima watoto wa watu hadi haki yao ya kugegedwa
Kwa mtu mwenye utu gharama ya chakula huwa haiongezeki sana anapoongezeka mtu mmoja kwenye familia na mara nyingi (hasa nyumban kwetu) housegirl anakula chakula tunachokula familia nzima.Hapo hujaweka gharama ya kumlisha na kumvisha.
Au ndo wale mnawafanya mahousegirl watumwa?
Nchi zilizoendelea MTU anayeweza kumlipa housegirl ni wale mafogo aka matajir wakubwa. Kule HYo ni Kazi rasmi Kabsa na unalipa pesa za kutosha. Sio Kama huku uyaya unalipa 50000 na Bado unamsimamangaNimekuwa nikitafakari kwa muda sasa.
Kwanini familia za waafrika bila dada wa kazi au housegirl mambo hayaendi?
Mke atalalamika, nyumba itakuwa chafu, chakula hakitaiva kwa wakati yaani mambo yote yatakuwa vurumai.
Lakini ukiangalia wenzetu walioendelea familia nyingi ni baba, mama na watoto na wote wanajituma katika majukumu yao.
Ni familia chache za matajiri sana wenye mansions ndio utakuta kuna maids.
Je ni uvivu?
Je ni kwasababu wanapatikana kwa bei chee?
Ni tabia zetu tu kupenda ubwanyenye?
Mwanangu nipasie huyo housegirl,,Ili niokoe ndoa yako. Niko siriasMwingingine ni uduwanzi tu
Imagine nmetoka kuoa tu na tuna miezi mitatu tu kwenye ndoa , maisha bado vurugu vurugu yan hadi bado madeni mengine ya harusi hatuja clear... Halafu wife analilia mfanya kazi na yeye ni mama wa nyumbani.. Kidume nkakaza kwamba hapana hiyo kitu haiwezekani hilo wazo la mfanya kazi lifte kabisa...
Mara ghafla mtu hodi mlangoni na mashangazi kaja mawili safari ya kuvuka mikoa mitatu na nauli kalipiwa na dada ake wife yani shemeji angu... Haloo huyu binti anapiga kazi balaa...
Ataamka mapema atafanya usafi, atapika chai mapema, maji anafata, chakula anapika kwa wakati japo quality inapungua ukilinganisha na anavyopika wife... yani hapa nawaza nmtimue yeye au nmtimue wife Na ni lazima mmoja atimkie mbali fumbafu
Mkuu nchi zipi hzo hakuna maids?
Hujakua bado ukikua utaelewaNimekuwa nikitafakari kwa muda sasa.
Kwanini familia za waafrika bila dada wa kazi au housegirl mambo hayaendi?
Mke atalalamika, nyumba itakuwa chafu, chakula hakitaiva kwa wakati yaani mambo yote yatakuwa vurumai.
Lakini ukiangalia wenzetu walioendelea familia nyingi ni baba, mama na watoto na wote wanajituma katika majukumu yao.
Ni familia chache za matajiri sana wenye mansions ndio utakuta kuna maids.
Je ni uvivu?
Je ni kwasababu wanapatikana kwa bei chee?
Ni tabia zetu tu kupenda ubwanyenye?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo familia zilizoendelea hawatumii mkaa kupika Wala masufuria dhaifu ya aluminum yanayopoteza mvuke.
Pia hawafui nguo kwa mikono, Wala hawaendi umbali mrefu kutafuta maji.