Watanzania tuna haraka sana.
Dozi ya dawa ni siku saba.. wewe siku ya pili..ushaanzahizi dawa hakuna kitu... Kwann tusivumilie mpaka muda utimie!?
Hakuna njia nyingine ya kufanya katikati ya jiji (kuanzia ubungo mpaka posta.. maana itakuwa ghali sana kutekeleza..kwa maana ya fidia..
Kinachofanyika ni kuboresha barabara za ndani, Morogoro connect, Kutoka Mabibo mpaka, Kijitonyama, sinza c Kijitonyama, barabara za ITV kuelekea mikocheni.. Barabara za makumbusho nk.. zote hizo ni kuease traffic kutoka barabara kuu.
Huku nje ya mji wanapanua na super highways.. kama hii ya Morogoro.. itasaidia pia kudiscourage watu kuingia mjini na kuwekeza zaidi nje ya miji kama mbezi, kibamba, liguruni, Kiluvya na Kibaha.. kesho itapunguza foleni.
Ila kwa sasa tuwe na subira Tungoje ujenzi uishe ndio tuhukumu.
Sent from my Infinix X650 using
JamiiForums mobile app