Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo kuna mwenzio kaja anaisifia humu mpaka anasema Lissu aende akashuhudie maendeleo ya flyover ya Ubungo imepunguza foleni, Kulikoni tena..?Naipongeza Serikali yetu kwa juhudi kubwa za kutuletea maendeleo ikiwemo kuboresha miundombinu yetu. Leo daraja la juu pia limefunguliwa kwa magari yanayotokea mwenge kuelekea Riverside lakini kinachonishangaza ni kwanini foleni bado ni kubwa sana kwa magari yanayotokea Kimara?
Huenda hawajamaliza upanuzi wa barabara ila ni wazi kwa ramani hii wameamua tu kupunguza tatizo la foleni badala ya kulimaliza pamoja na kutumia billions za kutosha.
Nachojiuliza walishindwa vp kuongezea bilioni zingine wakajenga kitu cha kuishi miaka yote kitakachomaliza tatizo? Na hii hali inajirudia pale mbezi mwisho licha ya mapesa mengi yanayotumika ila hakuna dalili za kumaliza tatizo la foleni sana sana ni kama foleni ya Ubungo wanaihamishia Mbezi Mwisho.
Tuna watu wanaofikiri sawasawa? Hawatembei nchi nyingine? Wakitembea huko hawajifunzi wenzetu wanafanyaje?
Mbezi mwisho na shekilango pakitatuliwa watarudi humu kulalamika kua foleni imehamishiwa sehemu nyingine...Kifupi binadamu hajaumbiwa kuridhika...Always ni mtu wa lawama.Kwa mji mkubwa kama Dar foleni haiwezi kukosekana,pia changamoto huwa zinatatuliwa taratibu na kwa mipango.
Mbezi mwisho na Shekilango pakitatuliwa pia tatizo litaamia pengine napo patarekebishwa.
hivyohivyo mdogomdogo mpaka tutafika.
Mbezi mwisho na shekilango pakitatuliwa watarudi humu kulalamika kua foleni imehamishiwa sehemu nyingine...Kifupi binadamu hajaumbiwa kuridhika...Always ni mtu wa lawama.
Kwa hela ipi mliyanayo ?Hii ngoma atleast ingefika Chalinze.
Kwani daraja sio flyover ,?Hamna flyover pale lile ni daraja
Wazungu wanasema "The loudest person in a room is weak one"....hawa wanaoshupaza shingo humu kupinga pinga siku ukifanyikiwa kukutana nao wakakupeleka wanapoishi utabaki kujiuliza huyu ndo yule Mjuaji kule JF au? wanaifanya flyover issue ya kisiasa while makao makuu ya chama ni tatzo...waanze kutuonesha mfano wa Ujenzi wa HQ yao kabla ya kuanza kukosoa walivyojenga wenzao...ni bora mtu alalamike mtu mwenye maumivu ya kweli lakini sio hawa wahuni wanaotafuta karata za siasa.
Kwani daraja sio flyover ,?
Argument yangu imebase kwenye Objective truth,Kama mada yako ipo kwenye context ya kisiasa au unatumia kauli za wana siasa ku bias akili yako nje ya ukweli,hilo ni tatizo jengineOk kumbe mheshimiwa leo kakosea kusema tatizo la foleni limeisha
Tazara ni hivyo hivyo. Mchoro wa awali sio kilichojengwa.Unachosema ni kweli ila tuliaminishwa foleni itaisha ndio maana tunahoji mkuu. Si unaona hata ramani ya kwanza ilivyokua?
View attachment 1587299
Heb tutumie huo mchoro wa Awali wa Tazara tuuone.Tazara ni hivyo hivyo. Mchoro wa awali sio kilichojengwa.
Tutajenga flover nyingine pale pamoja na Morocco, Magomeni usalama,uhasibu kurasini,karume/ilala pamoja na mataa ya chan'ombe kulekea vetaWakandarasi wetu changamoto sana hebu imagine kimara korogwe daladala hazina kituo zinashushia barabarani zinaongeza foleni kiboya kabisa, wameshindwa hata kuchepusha kimtindo washushie abiria pembeni? Mwenge ndio usiseme maana ukiwa umetokea sam nujoma kuingia bagamoyo road kuelekea itv mnakaa foleni mpaka mnakoma. Taa zinawaka sekunde 15 yanapita magari matatu zinazima. Akikaa traffic police ndo balaa zaidi
Ulitembea sana wakati inajengwaHeb tutumie huo mchoro wa Awali wa Tazara tuuone.