Hiyo ni tabia ya kulalamika tu ambayo imajaa vichwani mwa baadhi ya watanzania wengi kiasi kuwa linalofanywa na serikali lazima waone kuwa ni baya. Huko ulikookota hizo definition hukupasoma vizuri iwapo unadhani kuwa flyover na daraja ni vitu viwili tofauti. Zote ni structure zinazpita juu ya kitu kingine, zinaweza kuwa zinapita juu ya barabara nyingine, juu mto, au juu ya reli. Halafu unapodhani kuwa flyover lazima ipunguze foleni ni wazi kuwa huenda hujasafiri nje ya nchi kuona hali halisi zikoje. Chicago pale kuna flyover nyingi sana lakini wakati wa rush hour foleni huwa na kali sana. Ukiwa China ambako ndiyo wameenedelea na maflyover karibu kila sehemu lakini nao kuna sehemu nyingi huwa zinagubikwa na foleni sana; India nayo ina flyover nyingi sana lakini folnei haziishi.
View attachment 1586939
Njia kuwa
convenient haina maana ya kutokuwapo na foleni, ila inasaidia kupunguza foleni. Huwezi kulinganisha foleni iliyokuwa Ubungo zamani na foleni iliyopo leo. Na kuwepo kwa foleni haukubatilishi ukweli kuwa hiyo ni flyover.