Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Mkuu hatuna Hela ya kufanya iyo construction ya mipango ya miaka mia ama 50. Ivi Unajua ujenzi ulivyo gharama ama unausikia kaka/Dada. Miaka mia mtahitaji triliioni 80-150. Je , mnazo hizi Hela ndugu ama mihemuko.Foleni haitaondoka mkuu. Itahamia kwenye hizo juction nyingine. Kumbuka barabara ya Morogoro imejengwa mara 5 ndani ya miaka 25 na mara zote inajengwa kuondoa foleni lakini foleni haiondoki. Planners wetu wajifikirie upya. Wanapoplan mradi mkubwa kama huu wafikiri miaka 50 au 100 ijayo siyo 5
Ujenzi ni kulingana na uwezo wako ama hata hujajenga Unajua ulivyo gharama.
Unaijua flyover from posta to chalinze ni bei gani.
MIE mnaongea tu nawacheki.yaani Iko ivi hao planners wanaweza sana sema ishu ni budget constraints. Utakomaa kuweka fence ya nyumba afu watoto wasiende shule. Mkuu hata miaka 500 inawezekana projection inafanyika maana traffic growth rate IPO. Ama hauelewi kuwa idadi ya magari yanayopita hapo hapo yanajulikana idadi na uwezo wa kuyajengea road inayoweza kuyabeba inajulikana sema sie ni masikini ama huwa huelewi mana ya nchi ya masikini kaka.
Nikuulize swali hivi Unajua ni kwa nini gharama ya Gari used/new in Japan gharama yake ni ndogo kuliko ushuru tunaoilipa TRA? Ukinijibu hili swali nitag please