Kwanini frame za Sinza Kodi ipo juu Lakini sioni muingiliano wa watu madukani?

Kwanini frame za Sinza Kodi ipo juu Lakini sioni muingiliano wa watu madukani?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Kuna dogo mmoja yupo Hapo sinza kwa remmy dukani kwake Kuna t-shirt kama 12 Lakini analipa Kodi laki 3 kwa mwezi, kiukweli mjini ingia na yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo.

Hapa frame ni laki saba kwa mwezi kwa mwaka ni million 8 na laki 4.

Maeneo kama kariakoo unaweza shawishika kulipa hata million 1 kwa mwezi kwa sababu ya movement ya watu iliyopo, watu wa sinza mnawezaje kulipa Kodi kubwa hivyo?

N.B kwahiyo basi tu conclude hapa kwamba mtu yoyote mwenye frame sinza sio wa mchezo mchezo?

Nikimaanisha pesa ipo kweli kweli?

Screenshot_20230728-194817~2.png
 
Kuna dogo mmoja yupo Hapo sinza kwa remmy dukani kwake Kuna t-shirt kama 12 Lakini analipa Kodi laki 3 kwa mwezi, kiukweli mjini ingia na yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo...
Mimi mwenyewe hili Jambo lishanishagaza siku nyingi sana hasa Dar Frame ya laki 3. MTU an pair 15 za viatu seriously
 
Back
Top Bottom