Kwanini frame za Sinza Kodi ipo juu Lakini sioni muingiliano wa watu madukani?

Kwanini frame za Sinza Kodi ipo juu Lakini sioni muingiliano wa watu madukani?

Frame nyingi sana huko zinafunguliwa na Mafisadi kufungulia watu wao ili tu wasiitwe Mama wa Nyumbani hivyo auze asiuze Duka lazima lifunguliwe
Hii ndio Genuine. Badala ya mwanamke kushinda nyumbani unamweka busy kwenye biashara yake unampunguzia muda wa kuzurura na kukucheat na hata kukufuatilia pia since yuko kwenye biashara zake na akili yake inakuwa na jambo la kuiweka attention.
 
Back
Top Bottom