Wakat naanza duka sinza 2014 nilikuwa nalipa 450 frem yangu kubwa tu aisee biashara ilipochanganyia sinza Vunjabei/usiendekariakoo/frank knows watu wakadhan sinza kuna biashara.
Ukitengeneza frem watu wanagombania nakumbuka mwaka juzi jiran hapa frem ilikuwa laki nne ila watu wakapandiana kodi mpk akalipa mtu laki 8.
Cha ajabu wanakaa mwaka wanaachia.
Sinza hakuna biashara kama hauna jina ila kama unajima biashara ipo nzur tu.
Sasa kurupuka uje uchukue frem laki 8 au 1m then baada ya mwaka ndo utabaki kujiuliza usiendekariakoo/ vunjabei wanaroga au! [emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye frem hawapandishi frem ila wanaotaka kupanga wanaodhan sinza kuna biashara ndo wanasababisha zipande
Saa hizi Sinza kuna frem 2m frem moja [emoji23][emoji23]