Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,045
- 2,975
Nimepitia comments hapa nimegundua wachangiaji wengi Wana mawazo hasi Sana..Kuna dogo mmoja yupo Hapo sinza kwa remmy dukani kwake Kuna t-shirt kama 12 Lakini analipa Kodi laki 3 kwa mwezi, kiukweli mjini ingia na yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo.
Hapa frame ni laki saba kwa mwezi kwa mwaka ni million 8 na laki 4.
Maeneo kama kariakoo unaweza shawishika kulipa hata million 1 kwa mwezi kwa sababu ya movement ya watu iliyopo, watu wa sinza mnawezaje kulipa Kodi kubwa hivyo?
N.B kwahiyo basi tu conclude hapa kwamba mtu yoyote mwenye frame sinza sio wa mchezo mchezo?
Nikimaanisha pesa ipo kweli kweli?
View attachment 2701606
Tujaribu kufikiria pamoja.. vijana wengi waliopanga frem maeneo ya sinza na makumbusho wamechanga Pesa pamoja mpaka watatu au Zaidi kutokana na aina ya biasha..
Kutoka na aina ya soko linalo patikana makumbusho na maeneo kama sinza na kinondoni yaani wateja kuwa aina flani ya watu wenye kipato cha juu.. walicho fanya kupata soko Lao bidhaa zao wamepandisha bei mpaka Mara mbili..
Kwa mfano nguo ambayo unapata kariakoo Kwa 25k sinza unaweza uziwa mpaka 50k au Zaidi..
Kingine wengi wanaweka bidhaa chache kwasababu now days watu wanafanya biashara mitandaoni unakuta Kuna duka kkoo anakuwa anaaguza Hilo la sinza Ni pambo tu..
Kwa kifupi biashara Ni ubunifu..
Kama frem ya sinza Ni Laki Tano that means per day unahitaji faida kama 30k hivi.. ambayo hiyo inapatikana Kwa mteja mmoja tu makini na Zaidi..
So tusiwe waoga WA biashara.. ingawa pia sikatai kwamba wapo wenye deal nyingine nyeusi lakini tusisahau kwamba wengine wamezaliwa Kwa Pesa wamezikuta na huko ndo maeneo yao