triga
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,029
- 5,710
Tabia za kichawi ni kujadili mitikasi ya wenzio kwa mrengo wa kuponda na kukebehi. Umeshindwa hoja sasa unamjadili mtoa hoja.Kwani kusema kile ulichoona ni wivu na husda?? Aloandika kua wanadanga ni nani? Mbona una makasiriko kijana au na wewe una frem yako sinza hapo, unauza nini huko mtandaoni tukuungishe, si mnafanya biashara kidigitali maduka ni gelesha tu [emoji1][emoji1]
Hakuna mtu aliyekuomba umchangie kodi ya fremu wala mtaji sasa anachofanya/pata kwenye biashara yake wewe kinakuhusu nini!? Mbona wewe mshahara unaolipwa hauendani na kazi unayoifanya na bado umekomaa tu hapo ofisini na wengine hawasemi!? Mbn wao hawajadili jinsi wewe ulivyogeuzwa msukule na muajiri!? Wewe kwa huo mshahara wa tgskunani utaweza kununua hata boxer tu hapo Sinza kweli!?
Kutoka nilipo mpka Sinza kuna maelf ya maili katikati. Sihitaji kuwa na biashara Sinza ili nichukie wivu na husda mlizonazo wachawi dhidi ya mikimbio ya vijana wanaojaribu kutafuta riziki kihalali kusogeza siku za maisha. Mtu yeyote mwenye nia njema na moyo safi atapenda kuona vijana wanajaribu na kuwatia moyo na ikiwezekana kuwapa ushauri ili kuwasaidia. Sio kuwaponda na kuwasingizia mambo machafu kama biashara haramu mara umalaya nk. Ndio maana tunakemea mapepo kama nyie kwa jina la mwamposa!
Vijana na wapambanaji popote pale mlipo endeleeni kukaza buti iwe sinza au mahali pengine. Msikatishwe tamaa na hawa 'loosers' wa mitandaoni ambao hawanaga jema kwa mtu yeyote. Wachawi tu hawa!!!