Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Wasanii tu sinza na makumbusho hawanaga kipya ,kuna michezo nyuma ya pazia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah ni kweli, niliwahi kununua kava ya simu kwa sh 15,000 hapo ni baada ya punguzo alianzia 20,000. nimefika nyumbani waif kaniambia unaona hii yangu nimenunua kariakoo buku tano.Mkuu elewa hata nguo zinazouzwa sinza bei ni tofauti kubwa na kariako.
Wenye pesa zao hawana muda kuingia kariakoo kupigana vikumbo na wamachinga bali wanaenda kununua Sinza, hivyo pango linalipika kirahisi tu
Wewe ndo uko nyuma ya muda. Tunaosema money laundering na michezo mingine michafu tuna uhakika 100%. Na uhakika wetu unachangiwa na kuwahi kufanya biashara huko pia. Ingawa wapo wanaofanya biashara halali pia. Ndugu yangu haya mambo ni tofauti unavyoona. Miaka ya 2000 kuna fundi wetu mmoja mzuri sana pale Sanawari Arusha alikuwa akitutengenezea magari. Yule kijana alikuwa smart na msikivu kinyama hana shida na mtu. Tulipigwa surprise ya mwaka tulivyosikia kashiriki tukio la ujambazi ubungo kupora hela za nmb.Wanaosema habari za kujiuza sijui money laundering mara madawa ni wivu tu na wengi pengine hawajawahi kufanya biashara. Hivi watu biashara ya madawa wanaivhukulia poa sana kiasi hata mtu yeyote tu anaweza kuifanya eeh!?
Wafanyabiashara wengi wa sinza ni legit kbs na wapambanaji wenye style yao tofauti ya biashara. Ukija kuchunguza utagundua hata kkoo mzunguko umepungua sio km ule wa miaka 10 iliyopita na moja ya sababu ni pamoja na kuongezeka maduka sehemu nyinginezo kama sinza nk.
Kama mtu anauza mf. nguo na anaagiza mwenyewe mzigo unafika loose cargo yake pc 1k, 2k, mpk 5k na anaweza kuusukuma wote dukani jumlisha online ndani ya miezi mi2 au chini ya hapo atashindwaje kulipa kodi ya laki 5 kwa mwezi!? Kama unajua profit margin wanazoweka/pata hao watu wa sinza ni kitu kidogo sana hiyo kodi. Ktk miezi 12 mtu kashusha mzigo mara 6 au 7 na zote umeisha km lbd ulikwama mmoja akauza sale sio mbaya still hela ya kodi hakosi na faida ya kuendeshea mambo yake mengine anakuwa nayo. Nendeni kwenye ofisi za mabasi pale shekilango muone parcel zinavyosafirishwa kila siku kwenda mikoani na hao wafanyabiashara ndio mtajua kuwa hamjui kitu.
Kushindwa na kurudisha frem ni kawaida hata kkoo inatokea sana. Haimaanishi wote wanashindwa au wote wanafanikiwa. Tusipende kuhitimisha mambo bila kufanya udadisi wa kutosha. Tujifunze kujifunza! Mwisho kuchunguza fulani anafanikiwaje bila ya tamaa ya kutaka kujifunza ni dalili za mwanzo kbs za UCHAWI
Hii ilikuwa enzi ya JK alivyoingia Jpm waliangukia puaFrame nyingi sana huko zinafunguliwa na Mafisadi kufungulia watu wao ili tu wasiitwe Mama wa Nyumbani hivyo auze asiuze Duka lazima lifunguliwe
Afadhali maduka ya simu kidogo inaingia akilini kwa sababu kuna simu hadi za milioni 2 akiuza moja kwa wiki inaweza kumsukuma lakini suruali au shati ni elfu 30 tu hawezi kuendesha maishaOyaa ila Kuna ukweli hapo. Sawa na maduka ya iPhone makumbusho. Utakuta anauza simu moja tu kwa wiki lakini nje ya duka kapaki Toyota crown.
Ukwepaji mkubwa wa Kodi!Wanaosema habari za kujiuza sijui money laundering mara madawa ni wivu tu na wengi pengine hawajawahi kufanya biashara. Hivi watu biashara ya madawa wanaivhukulia poa sana kiasi hata mtu yeyote tu anaweza kuifanya eeh!?
Wafanyabiashara wengi wa sinza ni legit kbs na wapambanaji wenye style yao tofauti ya biashara. Ukija kuchunguza utagundua hata kkoo mzunguko umepungua sio km ule wa miaka 10 iliyopita na moja ya sababu ni pamoja na kuongezeka maduka sehemu nyinginezo kama sinza nk.
Kama mtu anauza mf. nguo na anaagiza mwenyewe mzigo unafika loose cargo yake pc 1k, 2k, mpk 5k na anaweza kuusukuma wote dukani jumlisha online ndani ya miezi mi2 au chini ya hapo atashindwaje kulipa kodi ya laki 5 kwa mwezi!? Kama unajua profit margin wanazoweka/pata hao watu wa sinza ni kitu kidogo sana hiyo kodi. Ktk miezi 12 mtu kashusha mzigo mara 6 au 7 na zote umeisha km lbd ulikwama mmoja akauza sale sio mbaya still hela ya kodi hakosi na faida ya kuendeshea mambo yake mengine anakuwa nayo. Nendeni kwenye ofisi za mabasi pale shekilango muone parcel zinavyosafirishwa kila siku kwenda mikoani na hao wafanyabiashara ndio mtajua kuwa hamjui kitu.
Kushindwa na kurudisha frem ni kawaida hata kkoo inatokea sana. Haimaanishi wote wanashindwa au wote wanafanikiwa. Tusipende kuhitimisha mambo bila kufanya udadisi wa kutosha. Tujifunze kujifunza! Mwisho kuchunguza fulani anafanikiwaje bila ya tamaa ya kutaka kujifunza ni dalili za mwanzo kbs za UCHAWI
Money laundering ipo kila mahali tena maeneo yenye mzunguko mkubwa wa pesa ndipo inafanyika vzr. Na kwanza utakatishaji kupitia bidhaa halisi mf nguo na viatu ni mgumu sana. Tofauti na huduma. Unatakatishaje bilioni 10 kwenye biashara ya nguo!?Wewe ndo uko nyuma ya muda. Tunaosema money laundering na michezo mingine michafu tuna uhakika 100%. Na uhakika wetu unachangiwa na kuwahi kufanya biashara huko pia. Ingawa wapo wanaofanya biashara halali pia. Ndugu yangu haya mambo ni tofauti unavyoona. Miaka ya 2000 kuna fundi wetu mmoja mzuri sana pale Sanawari Arusha alikuwa akitutengenezea magari. Yule kijana alikuwa smart na msikivu kinyama hana shida na mtu. Tulipigwa surprise ya mwaka tulivyosikia kashiriki tukio la ujambazi ubungo kupora hela za nmb.
Mkuu wewe ni mzoefu wa jiji vipi mtu akiwa na milioñ 50 anaweza kufanya biashara ya kueleweka hapo town?Wakat naanza duka sinza 2014 nilikuwa nalipa 450 frem yangu kubwa tu aisee biashara ilipochanganyia sinza Vunjabei/usiendekariakoo/frank knows watu wakadhan sinza kuna biashara.
Ukitengeneza frem watu wanagombania nakumbuka mwaka juzi jiran hapa frem ilikuwa laki nne ila watu wakapandiana kodi mpk akalipa mtu laki 8.
Cha ajabu wanakaa mwaka wanaachia.
Sinza hakuna biashara kama hauna jina ila kama unajima biashara ipo nzur tu.
Sasa kurupuka uje uchukue frem laki 8 au 1m then baada ya mwaka ndo utabaki kujiuliza usiendekariakoo/ vunjabei wanaroga au! [emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye frem hawapandishi frem ila wanaotaka kupanga wanaodhan sinza kuna biashara ndo wanasababisha zipande
Saa hizi Sinza kuna frem 2m frem moja [emoji23][emoji23]
Ukiwa mjanja huo mtaji unafanya kitu Cha maana kariakooMkuu wewe ni mzoefu wa jiji vipi mtu akiwa na milioñ 50 anaweza kufanya biashara ya kueleweka hapo town?
Ukimaliza research hii hamia kwa watu wanaoishi mahotelini maisha yao yote na haijurikani wana shughuri gani.Kuna dogo mmoja yupo Hapo sinza kwa remmy dukani kwake Kuna t-shirt kama 12 Lakini analipa Kodi laki 3 kwa mwezi, kiukweli mjini ingia na yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo.
Hapa frame ni laki saba kwa mwezi kwa mwaka ni million 8 na laki 4.
Maeneo kama kariakoo unaweza shawishika kulipa hata million 1 kwa mwezi kwa sababu ya movement ya watu iliyopo, watu wa sinza mnawezaje kulipa Kodi kubwa hivyo?
N.B kwahiyo basi tu conclude hapa kwamba mtu yoyote mwenye frame sinza sio wa mchezo mchezo?
Nikimaanisha pesa ipo kweli kweli?
View attachment 2701606
Mkuu nikutumie picha ya huyo mwenye t-shirt 12 shop na Kodi ni laki 3?..utanambiaje huyo anafanya online na mzigo Hana? Ofisini kwake Kuna masofa na urembo mwingiii, inatia mashakaWanaosema habari za kujiuza sijui money laundering mara madawa ni wivu tu na wengi pengine hawajawahi kufanya biashara. Hivi watu biashara ya madawa wanaivhukulia poa sana kiasi hata mtu yeyote tu anaweza kuifanya eeh!?
Wafanyabiashara wengi wa sinza ni legit kbs na wapambanaji wenye style yao tofauti ya biashara. Ukija kuchunguza utagundua hata kkoo mzunguko umepungua sio km ule wa miaka 10 iliyopita na moja ya sababu ni pamoja na kuongezeka maduka sehemu nyinginezo kama sinza nk.
Kama mtu anauza mf. nguo na anaagiza mwenyewe mzigo unafika loose cargo yake pc 1k, 2k, mpk 5k na anaweza kuusukuma wote dukani jumlisha online ndani ya miezi mi2 au chini ya hapo atashindwaje kulipa kodi ya laki 5 kwa mwezi!? Kama unajua profit margin wanazoweka/pata hao watu wa sinza ni kitu kidogo sana hiyo kodi. Ktk miezi 12 mtu kashusha mzigo mara 6 au 7 na zote umeisha km lbd ulikwama mmoja akauza sale sio mbaya still hela ya kodi hakosi na faida ya kuendeshea mambo yake mengine anakuwa nayo. Nendeni kwenye ofisi za mabasi pale shekilango muone parcel zinavyosafirishwa kila siku kwenda mikoani na hao wafanyabiashara ndio mtajua kuwa hamjui kitu.
Kushindwa na kurudisha frem ni kawaida hata kkoo inatokea sana. Haimaanishi wote wanashindwa au wote wanafanikiwa. Tusipende kuhitimisha mambo bila kufanya udadisi wa kutosha. Tujifunze kujifunza! Mwisho kuchunguza fulani anafanikiwaje bila ya tamaa ya kutaka kujifunza ni dalili za mwanzo kbs za UCHAWI
Kuna kitu natamani kusema ila moyo unakataa kuhusu frem za sinza japo sio sinza tu kuna maeneo mengine..
Siku nikipata muda nitaleta uzi.
Baki na unachoamini wewe.Money laundering ipo kila mahali tena maeneo yenye mzunguko mkubwa wa pesa ndipo inafanyika vzr. Na kwanza utakatishaji kupitia bidhaa halisi mf nguo na viatu ni mgumu sana. Tofauti na huduma. Unatakatishaje bilioni 10 kwenye biashara ya nguo!?
Vijana wanapambana hapo sjnza kwa namna wanazozijua wao pesa ya kodi wanapata na pesa ya kuendesha maisha inapatikana. Biashara za haramu zipo lkn ni kwa % chache sana huwezi kusema maduka yote sinza wanajihusisha sijui na kujiuza mara madawa mara utakatishaji. Si kweli! Ni wivu tu
Kama biashara gani mkuu?Ukiwa mjanja huo mtaji unafanya kitu Cha maana kariakoo
Khah!!..Huyo mwenye tisheti 12 ujue ipo bidhaa ya 13 anayouza ambayo ni tupu yake
Duh!!Mji mzito huu wengi ni mwendo wa kutakatisha fedha mkuu wanajifichia na kuzugia humo kwenye maduka
Viatu sana sana ndo naweza nkakushauriKama biashara gani mkuu?