The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
SIYO Wivu Tuwekeni wazi mnapataje faidaWatu wana wivu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIYO Wivu Tuwekeni wazi mnapataje faidaWatu wana wivu sana
Kwahiyo wewe ni Mwizi?Hizo fremu zimejaa misukule na vibwengoo,
Niliiba jeans week iliyopita, humu ndani Unga haukai, usiku ukishtuka unaona vimbilikimo vimeshikana vinatembea, Kesho nairudisha nikainunue upya.
Yaan kwamba hio ya 13 ni nini?Huyo mwenye tisheti 12 ujue ipo bidhaa ya 13 anayouza ambayo ni tupu yake
Kuna dogo mmoja yupo Hapo sinza kwa remmy dukani kwake Kuna t-shirt kama 12 Lakini analipa Kodi laki 3 kwa mwezi, kiukweli mjini ingia na yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo.
Hapa frame ni laki saba kwa mwezi kwa mwaka ni million 8 na laki 4,
Maeneo kama kariakoo unaweza shawishika kulipa hata million 1 kwa mwezi kwa sababu ya movement ya watu iliyopo, watu wa sinza mnawezaje kulipa Kodi kubwa hivyo?View attachment 2701606
Ndo wivu huoSIYO Wivu Tuwekeni wazi mnapataje faida
Sinza napo kila frame ni duka LA nguoUshajiuliza kwa nini kinondoni maduka ya nguo mengi na kila muhudumu ana tumia iphone na siku za ijumaa tupo nao bichi kidimbwi.
Makonda aliona mengi sana
Hujamwelewa Tuu, kwamba duka hilo ni location TU ,hizo tisheti ANGALIZoSasa mkuu location ni nzuri Lakini hakuna biashara
Aisee!Oyaa ila Kuna ukweli hapo. Sawa na maduka ya iPhone makumbusho. Utakuta anauza simu moja tu kwa wiki lakini nje ya duka kapaki Toyota crown.
Mimi hao majamaa Huwa wananifurahishaga kinoma, na wako smart kinyama uliza Kodi ya frame utoke nduki.Kuna wale wadananda duka lina makava 25 ya simu naka Pc kamoja wame pamba visofa, uta wakutana wame jazana umo hadi una jiulize na hii biashara ina fanya waishi au wana nyingine
Hakuna Asiyejua hilo hata Mtaani.Kwahiyo wewe ni Mwizi?
Mkuu elewa hata nguo zinazouzwa sinza bei ni tofauti kubwa na kariako.Kuna dogo mmoja yupo Hapo sinza kwa remmy dukani kwake Kuna t-shirt kama 12 Lakini analipa Kodi laki 3 kwa mwezi, kiukweli mjini ingia na yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo.
Hapa frame ni laki saba kwa mwezi kwa mwaka ni million 8 na laki 4,
Maeneo kama kariakoo unaweza shawishika kulipa hata million 1 kwa mwezi kwa sababu ya movement ya watu iliyopo, watu wa sinza mnawezaje kulipa Kodi kubwa hivyo?
N.B kwahiyo basi tu conclude hapa kwamba mtu yoyote mwenye frame sinza sio wa mchezo mchezo? Nikimaanisha pesa ipo kweli kweli?
View attachment 2701606
Tuambie yote wewe ni kaka wa ibilisi unajua mengi😂Ushajiuliza kwa nini kinondoni maduka ya nguo mengi na kila muhudumu ana tumia iphone na siku za ijumaa tupo nao bichi kidimbwi.
Makonda aliona mengi sana