Kwanini Freeman Mbowe alienda Ikulu Usiku?

Simple, aliitwa aende usiku, simple! Swali lingekuwa Kwanini Samia haraka haraka akamuita Mbowe Ikulu Tena usiku?
Rais anaratiba zake,mchana alikuwa na baraza la mawaziri.

Pia ifahamike yule ni Amiri jeshi mkuu.24 hrs aweza Fanya kikao nakutoa tamko.

Mbona hamkuhoji kwanini alitangaza kifo usiku march 2021?
 
Mama ni Raisi mwenye hekima, lazima amjulie hali mwenyekiti after all ni mtoto wa mpigania uhuru wa taifa letu
 
who Gets What, When, how

Hii def.ya fundi Harold Lasswell Classical Political scientist.
 
Sijui agenda ilikuwa ni nini!? Ila ninachojua ni kuwa, Mbowe hakwenda Ikulu bila kuitwa na Mwenye Ikulu.

Kikubwa ni kuwa, Mwenyekiti Mbowe aliitikia wito. Na muungwana huwa hakatai wito.

Muungwana hakatai wito bali hukataa NENO!! Kuna ukweli gani kuwa alikwenda usiku?
 
Mi japo kuwa ni mpenzi wa chadema, bado nawaza kwanini alikubali kwenda ikulu siku hiyohiyo tena usiku usiku. Kulikuwa na haraka gani? Kwanini? Kufanya nini?
Kama Rais wa jamuhuri akikuhitaji leo unaweza kugomea wito!!?

Unamfahamu muhesjimiwa Rais?

Endeleeni kujitoa ufahamu!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Dah! Umenikumbusha Nkomati Accord
Safari ya kurudi jamaa wale wale waliomuita kumsainisha MKATABA WA amani, wakaitungua Ile ndege iliyombeba, Rwanda nayo ilikuwa hivyo hivyo, nafikiri Ukraine anaogopa kutoka maana historical facts zinaonyesha kutunguliwa angani ni rahisi kuliko ardhi!
 
Abramovich ana kanuni yake muhimu kuwa Rais ndio anamiliki jela na sheria hivo alikuwa mtu makini ambaye alihakikisha kuwa hakosani na watawala ili asiharibu mambo yake.

Point muhimuu sana... Asomae na Afahamu
 
Kaenda kutubu usiku kwa mama ili kukwepa wafuasi wake macho kodo wasijue lakini wamejua.
 
Rais anaratiba zake,mchana alikuwa na baraza la mawaziri.

Pia ifahamike yule ni Amiri jeshi mkuu.24 hrs aweza Fanya kikao nakutoa tamko.

Mbona hamkuhoji kwanini alitangaza kifo usiku march 2021?
Hukuelewa mada ,na wala hutaelewa
 
Dinner (chakula cha usiku) hakiliwi mchana.
 
Acha Uongo toa hizo Picha
 
Eti yehova atasimama naye😂..nyie endeleeni tu kufikiri mungu ni wenu tu. Ndio maana tunasemaga mungu wenu mnamjua wenyewe. Tanzania ya kuongozwa na wabinafsi wenye uchu wa kujilimbikizia kwa kuwafukarisha umma haipo hata kwa ugaidi. Ujamaa ndio msingi wa amani tanzania.
 
Kwa nini wakati wa Kikwete alikwenda mchana? Ana maswali mengi sana ya kujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…