Siku niliposikia ustadh wangu anaiongelea FREEMASON kwa maneno makali hivi ndipo nilipoijua "IQ" yake kuwa ni NDOGO....
Tunahofishwa sana kuwa FREEMASONRY ni mijitu mibaya ilihali anayehofisha "kasikiasikia tu"....si mwanachama wao wala hajawahi kuhudhuria vikao vyao....
Well.....
Pete huwa zinavaliwa na binadamu hata wanyama huvishwa kama ilivyo MIKUFU ,VIDANI ,VIKUKU na "BRACELETS"....
Ngorongoro inatokana na sauti "ngor ngoor" ambayo ni urembo wa chuma anaovishwa ng'ombe shingoni ili ASIPOTEE.....
Kusema mtu fulani amevaa PETE...eti ya FREEMASONRY kwanza ni lazima atuonyeshe kwa picha hiyo PETE tuione ili tuidadavue ni kwanini iitwe PETE YA FREEMASONRY....
Vinginevyo ni POROJO tu ya mtu aliyevimbiwa tumbo kwa chips na mayai hapo ADA ESTATE....[emoji1787][emoji1787]
#Nchi Kwanza [emoji7][emoji7]