Kwanini Freemasons wanapenda kuwaweka viganjani mwao Marais wa dunia na ukiwakataa kamwe hudumu au unapatwa na changamoto?

Kwanini Freemasons wanapenda kuwaweka viganjani mwao Marais wa dunia na ukiwakataa kamwe hudumu au unapatwa na changamoto?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na kwa Marais mara kwa mara hupenda sana kuwapa ama Pete au Mkufu wauvae na kama wakikupa Pete yao basi itakulazimu mara kwa mara uwe unaishikashika.

Kwa Mfano GENTAMYCINE ningekuwa Rais wa Tanzania halafu labda nikawa na Shughuli / Hafla Uwanja wa Uhuru huku Watu wakiwa wengi moja ya Sharti la Freemasons ni kwamba kila mara niwe naishikashika ili Nyota yao ya Kichawi inilinde na iniletee Mvuto zaidi.

Acheni kuhangaika kutaka Kushindana na Watu wenye Akili Kubwa na Waliobarikiwa Akili kuliko Wewe au Nyie Sawa?

Geniuses zangu Wakubwa Arovera, Bila bila, mrangi, King Kong III etc mpo lakini au? Ukiwa na Akili Kubwa raha sana.
 
Siku niliposikia ustadh wangu anaiongelea FREEMASON kwa maneno makali hivi ndipo nilipoijua "IQ" yake kuwa ni NDOGO....

Tunahofishwa sana kuwa FREEMASONRY ni mijitu mibaya ilihali anayehofisha "kasikiasikia tu"....si mwanachama wao wala hajawahi kuhudhuria vikao vyao....

Well.....

Pete huwa zinavaliwa na binadamu hata wanyama huvishwa kama ilivyo MIKUFU ,VIDANI ,VIKUKU na "BRACELETS"....

Ngorongoro inatokana na sauti "ngor ngoor" ambayo ni urembo wa chuma anaovishwa ng'ombe shingoni ili ASIPOTEE.....

Kusema mtu fulani amevaa PETE...eti ya FREEMASONRY kwanza ni lazima atuonyeshe kwa picha hiyo PETE tuione ili tuidadavue ni kwanini iitwe PETE YA FREEMASONRY....

Vinginevyo ni POROJO tu ya mtu aliyevimbiwa tumbo kwa chips na mayai hapo ADA ESTATE....[emoji1787][emoji1787]

#Nchi Kwanza [emoji7][emoji7]
 
Back
Top Bottom