Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
mkoa wa DODOMA huwa siupendi hata kidogo! sijui ni kwanini. ila kwa vyovyote vile kuna sababu!!!!TRA wanapopewa sifa kuwa Dodoma wamekusanya nyingi mnadhani wanakusanyia Kondoa?.
Wanaminywa watu wachache waliopo Dodoma city.