Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Hata hiyo TV iwe nchi ngapi bado bei haiwezi kuwa sawa ya dar na hapa huku parefuHua unaagiza kwa bei gn nchi 55
Mimi TV nimetoa mfano tu ila nilinunua controller zile dj equipment pioneer cdj kwa milioni moja na laki dar
Huku Dodoma ilikuwa inauzwa dukani milioni 2 na nusu..
Umeona sasa