george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,023
- Thread starter
- #221
Siamini hiloBibi yenu hana mkono wa biashara! Hata huku kwingine biashara nyingi zinakufa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini hiloBibi yenu hana mkono wa biashara! Hata huku kwingine biashara nyingi zinakufa!
Hoja nzuri sna hiiJamii foraum tunaomba hii mada muipeleke kula fb kwenye pages yenu watu wajadili kiupana , na wahusika na viongozi wa Jiji la DODOMA waone kua wananchi wamechukizwa na changamoto za makodi ya hovyo dodoma
KumbeeMbona hapa Domu poa tu mkuu[emoji57].
Biashara ndo inayoongoza Dunia.
Maisha ni biashara mkuu,hivyo ukiona mtu kafunga,ujue Kuna sababu nyingi nyingi tu,sio flemu Wala Kodi nyingi.
Kwanza ni mji mkuu wa kisiasa,pia wengi wao ni wafanyakazi.
Na aliyefunga ujue anaishi Kwa kutegemea hiyohiyo biashara.
Ila ukweli wa mambo,hakuna kabwela anaeweza kumiliki flemu town KATI mkuu.
Wengi ni wazito,na wafanyakazi wa umma Kwa 90%. Au sekta binafsi wenye mishahara minono jombaa.
Mwananchi wa kawaida ni machinga,au ana kijibanda Cha mbao fc,au Yuko pembezon mwa mji.
Lakini mjini kati,sio wa kawaida.
Karibu IDODOMIA mkuu
Ni kweli kabisaDodoma is overated!
Miji ya kujenga arfiticially huwa na maisha magumu.
Mfano Abuja wa Nigeria ni mji uliojengwa baada ya Serikali ya nchi hiyo kuamua kuhama Lagos na kuhamia Abuja.
Abuja maisha magumu. Kule matajiri wa kubwa ndiyo wanapamudu.
Dar es Salaam bado itakuwa juu kwa kila rika ila siyo Dodoma.
Tatizo ni niniThings have Already fallen Apart.....; Kwa sasa tunaishi / kufanya vitu ambavyo sio sustainable kabisa..
Biashara nyingi ujanja ujanja kila mtu akilipa / akifanya vitu by the books lazima afunge Biashara
Tatizo ni nini
Kwa hiyo tumepata hasara?SGR Mkuu Haitatembea
Swala si kupiga kazi je inajitimiliza?Stand inapiga kazi muda wote hata soko pia
Bei ya Frame ya Stand Kùu ya Nanenane ni pesa ngapi palee. Maana naona Frame nyingi ziko wazi sanaàStand inapiga kazi muda wote hata soko pia
MIji ya kulazimishwa na serikali huwa ina maisha ya expensive .Dodoma is overated!
Miji ya kujenga arfiticially huwa na maisha magumu.
Mfano Abuja wa Nigeria ni mji uliojengwa baada ya Serikali ya nchi hiyo kuamua kuhama Lagos na kuhamia Abuja.
Abuja maisha magumu. Kule matajiri wa kubwa ndiyo wanapamudu.
Dar es Salaam bado itakuwa juu kwa kila rika ila siyo Dodoma.
SureMIji ya kulazimishwa na serikali huwa ina maisha ya expensive .
Nikama tu maisha ya libyo ghali pretoria kulinganisha na Johanessburg.
Dodoma inalala saa mbili usiku huwezi linganisha na dar ambayo saa nane usiku kituoni kuna mpigadebe na abiria wapo
Siamini mkuuMIji ya kulazimishwa na serikali huwa ina maisha ya expensive .

na kimsingi haiwaumizi wafanyabiashara, bali mlaji wa mwisho (mwananchi). maana mfanyabiashara itabidi apandishe bei za bidhaa zake ili apate faida. biashara ni faida. "profit oriented"Nipo Dodoma kikazi ila ninachojionea ni balaa ,
Fremu nyingi zinafungwa na watu wameshindwa biashara,
Najiuliza tatizo ni nini , Nilijaribu kuuliza baadhi ya wadau , wengi wameniambia Cha kwanza bei za fremu ,
Utakuta fremu Dodoma Hadi laki 7 ukija hizo Kodi za kufanya biashara mji huu ni utitiri wa Kodi , ambazo hazina kichwa wala miguu
Naomba viongozi wa Jiji la Dodoma fatilieni hili swala, Pana haha Gani mtu alipe TBS ,tra, mzani , bibi afya, usafi , mzani ,mlinzi,fire,
Jamani uongozi wa Jiji la DODOMA mnaumiza wafanyabiashara, Naomba wenye mamlaka ingilieni kati,
Hii inafanya bidhaa Dodoma kuwa kubwaa mno, inafanya watu kuishi dodoma ni changamoto