DOKEZO Kwanini fremu Dodoma zinafungwa sana na biashara kufa kila uchwao?

DOKEZO Kwanini fremu Dodoma zinafungwa sana na biashara kufa kila uchwao?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kinachoitwa uchumi wa kisiasa sijui hauna mizizi labda mtueleze ndio uchumi gani huo.

Kama ulizoea mzunguko wa Dar kwenye watu mil.4 ndio uje ulete Dom yenye watu 800k utakuwa huna akili.

Mwisho unachokiona Sasa Dom kuanzia kule Mji wa Serikali nk ndio kwanza hata nusu ya majengo ya taasisi Bado.

Mfano Yale majengo ya Wizara ni awamu ya kwanza,Kila Wizara Bado majengo 2 zaidi maana plan nimekuwa na majengo 3 Kwa Kila Wizara so Dom haipoi Leo Wala kesho.

Mji utazidi kukua huo,hapo ni 40% tuu ya mhitaji ya kiserikali yamekamilishwa maana hata basic miundombinu Bado ikiwemo airports,masoko na stendi za daladala.
Tunasubili mazuri huko
 
Safi sna hi Ni hoja Kali San

Mm pia Niko ddm jiji juzi kati nilikwenda kutembelea fremu fln HV maeneo ya nzuguni Kisha nikatembee mbele kidg kucheki zingjne ambazo niliwahi kuomba kupanga tokea mwezi wa Feb 2023 ila mpka leo hazijapata mpangaji Hadi Leo

Na moja nilikuwa namuona mtu anauza samaki na kuku hapo Happ nzuguni boda nae kafunga

Sass ajabu nikauliza Bei za fremu hzo nikaambiwa Ni laki nne [emoji23] na Kuna mtu kalipia kafungu duka la nyumbani na kuweka vikorokor vidogo Sana yenye thamani ya milion moja inafikirisha sna najiuliza anawezaje kulipa Kodi ikiqa hata mtaji wake tu Ni pungufu


Hzi Ni fremu zilizoko nzuguni boda Bei zake Ni laki 400k kwa mwezi View attachment 2895341View attachment 2895342
Duu aisee laki nne na watu hamna kabisaa , yaani unachoma pesa hapo
 
Nimekwambia Serikali inajenga Dodoma Kwa sura zote 2 yaani kuwa Mji wa kiserikali na Mji wa biashara.

Ndio maana Kilimo Cha Umwagiliaji kinaletwa,viwanda vinahimizwa,logistics cetre zinawekwa ,na mambo kama hayo yanayovutia wawekezaji ikiwemo uchimbaji nanuchenjuaji Madini,arenas nk
Kabisa mkuu
 
Na operate law firm nilikodi ofc space mjini kwa 400k per month and still ninalipa makazi 350k kwa mwezi at Kisasa. Nikaona upuuzi, nikarudisha ofc space na kuhamishia ofc nyumbani kwa kugeuza sebule kuwa ofc....the good thing is kuna siku naingia ofcn nikiwa nimevaa boxer [emoji1]
Umetumia akili sana aiseee
 
Ukisema mzunguko wa pesa ni mdogo unakuwa hujui unachoongea.Moja ya kiashiria Cha mzunguko.mkubwa wa pesa ni kuongezeka Kwa gharama za maisha hasa kwenye miji lakini mda huo huo Kasi ya ujenzi inazidi kuwepo.

Maisha ya Sasa yanahitaji ubunifu na sio traditional methods.

Wakati wewe unadai mzunguko hakuna na maisha magumu ila mtaani Kasi ya ujenzi ni kubwa sana hasa Private sector,Mabenki na bima wanapata faida hazijawahi tokea, biashara zinafunguliwa nyingi kuliko wanaoshindwa.

Just imagine kama mzunguko ni mdogo yet Utalii, uwekezaji na Ajira hazikauki wewe unaona uko sawa?
Serikali naamini itatatua changamoto zote
 
Back
Top Bottom