DOKEZO Kwanini fremu Dodoma zinafungwa sana na biashara kufa kila uchwao?

DOKEZO Kwanini fremu Dodoma zinafungwa sana na biashara kufa kila uchwao?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Bongo yote biashara ni ngumu kwa sasa ,mzunguko wa pesa upo chini vibaya mno
Na poor purchasing power ya mbongo ,ni hatari na nusu .
Dodoma haina tofauti na mji wa Mwanza , pesa ni
adimu haswa
Mwanza usiilinganishe na Dodoma acha uongo! Nchi nzima biashara ni ngumu ila zinazidiana!
Mwanza Inajiendesha kibiashara lakini Dodoma Inaendeshwa na mishahara ya wafanyakazi!
 
Nipo dodoma kikazi ila ninachojionea ni balaa ,

Fremu nyingi zinafungwa na watu wameshindwa biashara,

Najiuliza tatizo ni nini , Nilijaribu kuuliza baadhi ya wadau , wengi wameniambia Cha kwanza bei za fremu ,

Utakuta fremu dodoma Hadi laki 7 ukija hizo Kodi za kufanya biashara mji huu ni utitiri wa Kodi , ambazo hazina kichwa wala miguu

Naomba viongozi wa Jiji la dodoma fatilieni hili swala , Pana haha Gani mtu alipe TBS ,tra, mzani , bibi afya, usafi , mzani ,mlinzi,fire,

Jamani uongozi wa Jiji la DODOMA mnaumiza wafanyabiashara ,
Naomba wenye mamlaka ingilieni kati,

Hii inafanya bidhaa dodoma kuwa kubwaa mno , inafanya watu kuishi dodoma ni changamoto
Bei za fremu nizakipumbavu mno, wana wa charge kama kariakoo wakati dodoma mzunguko wa biashara ni mdogo mno.
 
Walikimbiloa Dodoma kisiasa, acha wazifunge tu
Naam, na wengi wanauza majengo waliyojenga wakitarajia wangepangisha.

Uchumi wa Dodoma ni wa kisiasa, hauna mizizi kwenye jamii, watu hawana hela. Halafu hata bei ya vitu vingi ni inflated.

Siku ujenzi wa majengo ya serikali ukifikia mwisho, wale wafanyakazi wakaondoka, Dodoma ijiandae kwa pigo jingine.

Serikali iangalie namna ya kuibalansi Dodoma kiuchumi, coz hata wakazi wa asili wa Dodoma ni kama wamekumbwa tu na tukio, hawakujipanga
 
Hakika!
 
Bongo yote biashara ni ngumu kwa sasa ,mzunguko wa pesa upo chini vibaya mno
Na poor purchasing power ya mbongo ,ni hatari na nusu .
Dodoma haina tofauti na mji wa Mwanza , pesa ni
adimu haswa
Hangaya anajua ila amefumba macho
Ukisema mzunguko wa pesa ni mdogo unakuwa hujui unachoongea.Moja ya kiashiria Cha mzunguko.mkubwa wa pesa ni kuongezeka Kwa gharama za maisha hasa kwenye miji lakini mda huo huo Kasi ya ujenzi inazidi kuwepo.

Maisha ya Sasa yanahitaji ubunifu na sio traditional methods.

Wakati wewe unadai mzunguko hakuna na maisha magumu ila mtaani Kasi ya ujenzi ni kubwa sana hasa Private sector,Mabenki na bima wanapata faida hazijawahi tokea, biashara zinafunguliwa nyingi kuliko wanaoshindwa.

Just imagine kama mzunguko ni mdogo yet Utalii, uwekezaji na Ajira hazikauki wewe unaona uko sawa?
 
Customer care ni zero kabisa, napataga shida sana kuwa dodoma.
Na operate law firm nilikodi ofc space mjini kwa 400k per month and still ninalipa makazi 350k kwa mwezi at Kisasa. Nikaona upuuzi, nikarudisha ofc space na kuhamishia ofc nyumbani kwa kugeuza sebule kuwa ofc....the good thing is kuna siku naingia ofcn nikiwa nimevaa boxer [emoji1]
 
kiserikali mafanikio yapo ila kibiashara bado mji unachechemea.
Nimekwambia Serikali inajenga Dodoma Kwa sura zote 2 yaani kuwa Mji wa kiserikali na Mji wa biashara.

Ndio maana Kilimo Cha Umwagiliaji kinaletwa,viwanda vinahimizwa,logistics cetre zinawekwa ,na mambo kama hayo yanayovutia wawekezaji ikiwemo uchimbaji nanuchenjuaji Madini,arenas nk
 
Back
Top Bottom