Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 4,486 Reaction score 8,098 Mar 27, 2024 #241 Kiboko ya Jiwe said: TRA wanapopewa sifa kuwa Dodoma wamekusanya nyingi mnadhani wanakusanyia Kondoa?. Wanaminywa watu wachache waliopo Dodoma city. Click to expand... mkoa wa DODOMA huwa siupendi hata kidogo! sijui ni kwanini. ila kwa vyovyote vile kuna sababu!!!!
Kiboko ya Jiwe said: TRA wanapopewa sifa kuwa Dodoma wamekusanya nyingi mnadhani wanakusanyia Kondoa?. Wanaminywa watu wachache waliopo Dodoma city. Click to expand... mkoa wa DODOMA huwa siupendi hata kidogo! sijui ni kwanini. ila kwa vyovyote vile kuna sababu!!!!
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Jun 2, 2024 #242 t blj said: MIji ya kulazimishwa na serikali huwa ina maisha ya expensive . Nikama tu maisha yalivyo ghali pretoria kulinganisha na Johanessburg. Dodoma inalala saa mbili usiku huwezi linganisha na dar ambayo saa nane usiku kituoni kuna mpigadebe na abiria wapo Click to expand... Dodoma ya kulala saa 2 usiku ni ya mwaka gani hiyo mkuu...?
t blj said: MIji ya kulazimishwa na serikali huwa ina maisha ya expensive . Nikama tu maisha yalivyo ghali pretoria kulinganisha na Johanessburg. Dodoma inalala saa mbili usiku huwezi linganisha na dar ambayo saa nane usiku kituoni kuna mpigadebe na abiria wapo Click to expand... Dodoma ya kulala saa 2 usiku ni ya mwaka gani hiyo mkuu...?