Kwanini French speaking African nations ndio zina vita tu?

French speaking?

 
 
Siera Leon ilitawaliwa na Britain
 
Ufaransa walitawala nchi hizo kwa mtindo.wa divide and rule, kutengeneza matabaka na kuyachonganisha.
Zile chuki.zimedumu hadi sasa.
 
Kwanini nchi zinazofuata dini ya amani ndio zina vita?
Kwa sababu waanzilishi wa dini hizo wanapenda sana kuishi kwenye majangwa, na kwenye majangwa kuna mafuta sana, na mafuta huchochea mabeberu kufadhili vikundi vya uasi kwa kisingizio cha jihad ili kujichotea mafuta. Thats why.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…