Kwanini French speaking African nations ndio zina vita tu?



Taratibu mkuu, kwa hio Burundi, Rwanda, Zaïre (D R Congo ), Afrika ya Kati, Congo Brazzaville Waislamu wengi ? Unaweza kutupa % ya hao MASHEIKH japo ya wikipédia kaka?
 
mmh.., naogopa kukubali moja kwa moja. labda chambua evidence kwa mifano hai ya nyongeza..

Kabla ya kuondolewa Ujerumani, Tanganyika ilikuwa mpaka wake na Belgian Congo ( leo ni DR Congo) Rwanda n'a Burundi zilikuwa ni ardhi za Tanganyika. Aliposhindwa Mjerumani vita ya Kwanza ya dunia , Wakaigawa Tanganyika, vikamegwa vile vipande na kipewa Ubelgiji , kwa hio Ubelgiji akawa n'a makoloni matatu, Congo DR , Rwanda n'a Burundi ( ambayo yalimegwa kutoka Tanganyika). Pia Mjerumani alipoteza makoloni yake yalobakia , Namibia akapewa kaburu ,
Wabelgiji wanaongea lugha gani?

Wanaongea lugha Tatu, kubwa ni mbili , kaskazini ya Ubelgiji lahaja za kiflamish ingawa lugha rasmi ya kaskazini ni kiholanzi (kidachi), kusini wanaongea Kifaransa 95% n'a Kijerumani 5% .
Zamani Kifaransa kilikuwa na nguvu sana ndio maana ikawa lugha ya kikoloni kwenye nchi walizotawala.
 

Kwa hio wale wanobaka D R Congo huku wakienda makanisani kila jumamosi /jumapili ni Nani ? Kibwetere alichoma kanisa lake na walikuwa wamejaa waumini wake , je Pia ni muislamu ? Au Kony wa Uganda unyama anaowafanyia watu kwa jina la dini ya kikristo , je tusemeje ? Usiangalie majanga ya umma kwa njia ya dini , kwa maana hamna hâta dini moja Kati ya Ukristo na Uislamu isiokosa watu wanaofanya unyama kwa jina la dini.
 
Lugha yenyeqe ukiongea ni vita at personal level
Na wao wenye luhha yao hasi si shwari Macron kakaliakuti kavu
 
hizo ni exception cases, let us talk on m,majority
 
Soma Assmilation policy hizo ni effects za mfumo wa utawala Wafaransa waliotumia kwenye nchi za Afrika
Siyo kweli mkuu!
Ni matokeo ya vita kati ya Anglo empire vs Franco empire. Anglo empire inatumia kila aina ya mbinu kung'oa mizizi ya Franco empire katika makoloni yake yote, mfano mzuri ni kilichotokea Rwanda.
 
Kwanza, fahamu kwamba Sierra Leone sio French Speaking ni English Speaking kwani ilikuwa ni Imperial British Colony.

Haya mataifa ya "La Francophonie" yana historia ya kuwa na majeshi yasiyo na nguvu sana na yamekuwa yakiitegemea sana Ufaransa kiulinzi tofauti na mataifa yaliyotawaliwa na Uingereza.

Lakini pia usisahau mapinduzi ya kijeshi nchini Nigeria, Ghana, Sierra Leone, The Gambia na Uganda na hata majaribio ktk nchi kama Tanzania 1964 na 1982; Kenya 1982; Zambia 1990.
 
Mwingereza aliisha iba vya kutosha na kuondoka
Lakini mfaransa bado anaona ni haki yake na kuweka mapigano kila kukicha huku akiiba rasilimali zao.



Sent from my SM using Tapatalk
 
Siyo Comoro ni Mayotte. Kipo Km 900+ kutoka Msumbiji. Baada ya kuzinguana na kuona umoja wa Afrika haueleweki wananchi wake wakaamua kupiga kura ya kuwa sehemu ya Ufaransa. Wengi wakashinda na sasa ni kati ya Majimbo ya Ufaransa.
 
Aliye watawala (ufaransa na ubelgiji) waliwapa magitaa na kuwafundisha kuvaa viuzuri na mwisho wa siku wamshtuka madini na mali zimeenda So wanajaribu kugawana wao kwa wao.

hawakuandaliwa kuongoza nchi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…