Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
laana imeanzia pale tulipo anza kuuzana utumwani, laana imeendelea kujidhihirisha hata leo tumeshindwa kujitawala kwa chuki zaki jinga kabisa!!Nijuze kuhusu hiyo laana. Mimi sijalaaniwa ila.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
laana imeanzia pale tulipo anza kuuzana utumwani, laana imeendelea kujidhihirisha hata leo tumeshindwa kujitawala kwa chuki zaki jinga kabisa!!Nijuze kuhusu hiyo laana. Mimi sijalaaniwa ila.
Sasa Algeria haina mashekh?French-speaking countries sio french-colonies wadau.. Burundi, Rwanda speak french despite being ruled by the Belgium
Kwa swali lako jibu ni moja tu hizo nchi nyingi hapo masheikh ni wengi ndio maana vita haziishi huko. Unajua hawa watu hata wakiwa wao pekee nchi nzima kama Somalia bado hawaelewanu
hivi somalia alitawaliwa na nani? maana hawa jamaa huwa siwaelewi kabisaa
Kuna mambo yapo nje ya uwezo wa mwafrika.British (Somaliland) France (Djibouti) wakati bado ni Somalia na Italy (Mogadishu)
Kuna mambo yapo nje ya uwezo wa mwafrika.
Uwezo wa kujitawalaKama yapi Mkuu
Nifungue kidogo twende pamoja
Wanazungumzia Civil Wars mkuuInategemea na karne... ukiweka kimahesabu zaidi utakuta zilizotawaliwa na Mwingereza ndizo zinaongoza kwa kupigana...au karibu zote zimeshapigana ikiwemo Marekani mbabe wa vita
ktk documentary za civil wars nlizoziona nyingi zimeshabiana hoja yako,kuna baadhi ya mataifa hayakuridhika na kutupa Uhuru wetu hivyo hawakuondoka mazima bali walijitahidi kuacha influence yao kisiasa na kiuchumu ktk makoloni yao hivyo uongozi ambao ungeonekana kukinzana na interest zao walijitahidi kuiyumbisha serikali kwa namna yoyote ile either coup de tat,civil wars au kulitumia taifa jirani kuangusha utalawala au kudumaza utawala MF Afrika ya Kati wananchi wanadai viongozi wote ni mapandizi ya Ufaransa na hata Yale machafuko ya miaka ya 2014 yalitenezewa taswira ya uhusika wa chad ila kiuhalisia Chad alitumika na UfaransaMwingereza aliisha iba vya kutosha na kuondoka
Lakini mfaransa bado anaona ni haki yake na kuweka mapigano kila kukicha huku akiiba rasilimali zao.
Sent from my SM using Tapatalk
Kwanza, fahamu kwamba Sierra Leone sio French Speaking ni English Speaking kwani ilikuwa ni Imperial British Colony.
Haya mataifa ya "La Francophonie" yana historia ya kuwa na majeshi yasiyo na nguvu sana na yamekuwa yakiitegemea sana Ufaransa kiulinzi tofauti na mataifa yaliyotawaliwa na Uingereza.
Lakini pia usisahau mapinduzi ya kijeshi nchini Nigeria, Ghana, Sierra Leone, The Gambia na Uganda na hata majaribio ktk nchi kama Tanzania 1964 na 1982; Kenya 1982; Zambia 1990.
You are right! hata Rwanda mbelgiji aliwachonganisha wahutu na watutsi, hadi leo ile chuki iliyopandikizwa na mkoloni haijatoka.Nafikiri hitimisho ni kuwa mataifa yote hayo yana madini mengi na yote ukiangalia wana dhahabu, almasi na uranium pamoja na copper
Wazungu waligawana mataifa yetu ili wanyonye rasilimali zetu ila kidogo waingereza wana heshimu kidogo utu kuliko wafaransa na wabelgiji
Wafaransa wao mbinu za kuchonganisha bado wanaendeleza mpaka sasa
Nimeangalia nchi zote hizo zimeshiba madini na ndio chanzo cha kuwachonganisha ili waibe kiulaini
Wanatengeneza waasi na kuwapa silaha huku wakijifanya urafiki na serikali
You are right! hata Rwanda mbelgiji aliwachonganisha wahutu na watutsi, hadi leo ile chuki iliyopandikizwa na mkoloni haijatoka.
Naona hata hunielewi. Unaongea vitu vingine kabisa.Mapinduzi na vita ni vitu viwili tofauti zingatia hilo mkuu,Mapinduzi hayaitaji uwekezaji mkubwa tofauti na Mapinduzi ambayo yanaweza isha pasipo kumwagika damu ila vita inaitaji misingi imara maana unapigana na mhimili mzima wa serikali au jamii