Kwanini fukwe za Tanzania hazina wanawake warembo?

Kwanini fukwe za Tanzania hazina wanawake warembo?

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,412
Reaction score
20,685
Nimetembelea beach niseme zote hapa Dar es Salaam, wanaotembelea either ni wanafunzi wa form 4, 6 get together, ma beki tatu na watoto wa mabosi zao, au washamba fulani waliotoka mikoani, au malaya wanaotega...

Tatizo ni nini, wanawake wa kitanzania hamna muda wa kuvuta hewa safi na kusafisha miili yenu?

Au ndio mida mibaya weekend ndio mida ya kulipa fadhila za wiki nzima?
 
Kama hapa nnasikiabwatu wa rombo wanauliza zile boti nani anaendesha au ni papa? Kweliii?
 
Mbona jibu ni rahisi sana wasababu mkuu....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Ni kwasababu tu macho yako hayaoni wanawake warembo huko beach.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mbona jibu ni rahisi sana wasababu mkuu....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Ni kwasababu tu macho yako hayaoni wanawake warembo huko beach.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Niko hapa beach
IMG_20180610_172217.jpg
 
Back
Top Bottom