The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Nimetembelea beach niseme zote hapa Dar es Salaam, wanaotembelea either ni wanafunzi wa form 4, 6 get together, ma beki tatu na watoto wa mabosi zao, au washamba fulani waliotoka mikoani, au malaya wanaotega...
Tatizo ni nini, wanawake wa kitanzania hamna muda wa kuvuta hewa safi na kusafisha miili yenu?
Au ndio mida mibaya weekend ndio mida ya kulipa fadhila za wiki nzima?
Tatizo ni nini, wanawake wa kitanzania hamna muda wa kuvuta hewa safi na kusafisha miili yenu?
Au ndio mida mibaya weekend ndio mida ya kulipa fadhila za wiki nzima?