comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Write your reply... RIGHT HERE feat chindo man umbaxx sio hit song? au umemjulia weusi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee ulichoandika hapa ni ukweli mtupu, v money, jux, g nako hawana hit song hata Mona ila wana nyimbo nzuri baadhi na sio hitHitsong wala hauitaji kuingia youtube uijue! Hitsong ni utaijua tu hata kama sio msikilizaji wa music.
Ipi kati ya hizo ina sifa ya kuitwa hitsong?
acha uongo ME AND UHizo zote hapo hakuna hitsong hata moja mkuu! Mara mia Maua Sama ana ngoma kama iokote ni hitsong, ila hizo zote hazijawah kufikia kua hitsong
Umelitia aibu taifa kwa comment yako.
Vanesa mdee hana hitsong yoyte, ni promo tu na connection,
View attachment 1149036
Mfano wa hitsong kwa tz
1.Zali la Mentali, pr jay
2.Starehe ,Ferooz
3.Bado nipo nipo, Mwana Fa
4.Mziki, Darasa
5.Natamba, Aslay
6.Kwangwaruu, Harmonize
7.Kamatia chini, Navy kenzo
Na zingine za mfanano huo, yaani wimbo unakuwa maskioni mwa watu hata kwa mtu ambaye sio mpenzi wa mziki, Diamond na Ali kiba nyimbo zao nyingi ni hit song hasa Diamond....
Vanesa hana hitsong hata moja
acha uongo ME AND U
vvanessa ft dimpoz katafte hata googleNi ya Dimpoz au ya Vanesa?
AseeeeWrite your reply... RIGHT HERE feat chindo man umbaxx sio hit song? au umemjulia weusi?
Aseeee
Smart guy
Noma sanaAseee vijana wa juzi hawamjui G warawara the finest of Ar
MhIla msanii ambae namuona kama anababisha tu kwenye game la music kwa mimi nnavyoona ni Vanesa Mdee, hajawah toa hitsong hata moja
mwenye suti ya maroon ndo G NAKO....ana swag ana flow Kali....anabadilika kwenye kila ngomaHuyu simjui, ila namfahu Lord Eyes, Ibra da hustler.
Kuna verse moja Lord Eyes anasema " UKINILETEA BOYA NAMFUA HATA KAMA NINA MAFUA"
Sijawahi kuona Hip hop artist kama huyu jamaa kwa hapa Tz. Namkubali sana. Ingawa naona amerudi kwenye game na anafanya vizuri mfano Wimbo wa WEUSI unaitwa SHOW TIME ameimba vizuri sana na yule jamaa mwembamba mwenye suit ya Maruni.