Kwanini G-NAKO hajawahi kutoa HITSONG?

Kwanini G-NAKO hajawahi kutoa HITSONG?

Write your reply... RIGHT HERE feat chindo man umbaxx sio hit song? au umemjulia weusi?
 
Hitsong wala hauitaji kuingia youtube uijue! Hitsong ni utaijua tu hata kama sio msikilizaji wa music.
Ipi kati ya hizo ina sifa ya kuitwa hitsong?
Mzee ulichoandika hapa ni ukweli mtupu, v money, jux, g nako hawana hit song hata Mona ila wana nyimbo nzuri baadhi na sio hit
 
Vanesa mdee hana hitsong yoyte, ni promo tu na connection,

View attachment 1149036

Mfano wa hitsong kwa tz
1.Zali la Mentali, pr jay
2.Starehe ,Ferooz
3.Bado nipo nipo, Mwana Fa
4.Mziki, Darasa
5.Natamba, Aslay
6.Kwangwaruu, Harmonize
7.Kamatia chini, Navy kenzo
Na zingine za mfanano huo, yaani wimbo unakuwa maskioni mwa watu hata kwa mtu ambaye sio mpenzi wa mziki, Diamond na Ali kiba nyimbo zao nyingi ni hit song hasa Diamond....

Vanesa hana hitsong hata moja

Umemaliza mkuu! Hitsong haiihitaji kuitafuta kweny mitandao, ni utaijua tu taka usitake
 
Wakuu warawara anazo hit zake
Ila kama mnataka ziwe hit kama kwangwaru basi hakuna msanii weusi mwenye hit
 
Huyu simjui, ila namfahu Lord Eyes, Ibra da hustler.
Kuna verse moja Lord Eyes anasema " UKINILETEA BOYA NAMFUA HATA KAMA NINA MAFUA"
Sijawahi kuona Hip hop artist kama huyu jamaa kwa hapa Tz. Namkubali sana. Ingawa naona amerudi kwenye game na anafanya vizuri mfano Wimbo wa WEUSI unaitwa SHOW TIME ameimba vizuri sana na yule jamaa mwembamba mwenye suit ya Maruni.
mwenye suti ya maroon ndo G NAKO....ana swag ana flow Kali....anabadilika kwenye kila ngoma
 
Back
Top Bottom