Kwanini Game ya marudiano ya Tony Rashid imefanyika tena Tanzania ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huyu kijana alidundwa nchini Tanzania , sasa nashangaa tena eti Re match inapigwa tena Tanzania ! kwani mpinzani wake hana nchi ?

Au ni lazima tuvunje mayai njia panda ili tushinde ?

Jifunzeni kuwaandaa mabondia wenu kucheza ugenini , kila siku siyo jumapili , unaweza kudundwa hata mara kadhaa kwenu , Acholile Kachora .

 
Huyu Dogo Tony anatakiwa apate elimu ya ngumi kutoka kwa makocha zaidi ya mmoja.
.
Kwa Sababu habadiriki kimchezo ana formula moja tu ya upiganaji na ndio maana imemuwia vigumu kuscore kutokana na upiganaji anaocheza bongani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…