Kwanini Game ya marudiano ya Tony Rashid imefanyika tena Tanzania ?

Kwanini Game ya marudiano ya Tony Rashid imefanyika tena Tanzania ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huyu kijana alidundwa nchini Tanzania , sasa nashangaa tena eti Re match inapigwa tena Tanzania ! kwani mpinzani wake hana nchi ?

Au ni lazima tuvunje mayai njia panda ili tushinde ?

Jifunzeni kuwaandaa mabondia wenu kucheza ugenini , kila siku siyo jumapili , unaweza kudundwa hata mara kadhaa kwenu , Acholile Kachora .

FB_IMG_1645601155648.jpg
 
Tonny anacheza na mtaalamu sana wa huu mchezo, jamaa ameingia huku anajua nini anachokifanya hana papara amerelax, benchi letu la ufundi lilitarajia Bongan angecheza mchezo waliomuona nao pambano la kwanza lakini jamaa kawabadilishia gia angani...... Tuendelee kuangalia
Huyu Dogo Tony anatakiwa apate elimu ya ngumi kutoka kwa makocha zaidi ya mmoja.
.
Kwa Sababu habadiriki kimchezo ana formula moja tu ya upiganaji na ndio maana imemuwia vigumu kuscore kutokana na upiganaji anaocheza bongani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tonny anacheza na mtaalamu sana wa huu mchezo, jamaa ameingia huku anajua nini anachokifanya hana papara amerelax, benchi letu la ufundi lilitarajia Bongan angecheza mchezo waliomuona nao pambano la kwanza lakini jamaa kawabadilishia gia angani...... Tuendelee kuangal

Mpaka sasa Tony amepigwa rounds zote ngoja tuone hii round ya 11 atafanya nini.
 
Back
Top Bottom