Kwanini gari aina ya Nissan X-trial used zinauzwa cheep sana?

Kwanini gari aina ya Nissan X-trial used zinauzwa cheep sana?

Mimi nadhani mahitaji ya aina ya Gari huathiriwa na tabia au utamaduni tu wa Jamii au taifa husika...mengine huwa ni uvumi tu unaenezwa.

Na kwa vyovyote brand ambayo haina Watumiaji wengi sehemu husika lazima na ufundi na spare zitakuwa shida kwani Wauzaji wana dili na bidhaa zenye Watumiaji wengi.
 
Hii gari imefeli mno kwenye majaribio ya kiajali, body frame yake ni karatasi, it's not a safe car hasa kubebea family. Kama fedha sio tatizo nenda na Toyota
Mmmmmmhmn sio kweli. Itazidi toyota Prado?!
 
Ndio Mkuu ni magazine inayouzwa madukani pia unaweza kulipia kwa mwaka ni kwa hapa [emoji636]

Ila unaweza kusoma pia online na kuuliza kila kitu na ubora wake
Mimi huwa najiridhisha nao kwa kila kitu na hapo najua nanunua kitu chenye ubora upi
Mkuu, mfano waweza angalia hii gari wamerate kwa kiwango gani? Urban Cruiser (Toyota)
 
Nissan xtrail ni gari poa ili mradi unazingatia service yake. Nissan xtrail ya mwanzo zinakuja na traditional Automatic gearbox/transmission.. na inatumia transmission fluid ya matic J na oil ya engine inatumia viscosity rating ya 5w-30 hata 10w-40 fully synthetic oil inafaa.. hii Gari una change transmission fluid after every 30,000km, na engine oil prefer kuchange after every 3000km hata kama ni synthetic (watu wengi DSM wanaangalia kilometers kuchange oil wakati kuna muda engine inaunguruma muda mrefu bila gari ku move so hii pia inachosha oil ndo maana nasema change after every 3000km) vitu vingine ni kawaida ingawa bei kidogo ipo juu na bei ni juu kwakua wauzaji wengi bongo wana overprice hizi fake parts inagawa wabongo husema ni genuine...

Kuna some spares za suspension because of their design inafanya iwe expensive..mfano ball joints.. design ya ball joints za Nissan extrail inafanya kama ball joints zimekufa inakulazimu kununua wishbone nzima... Kwa case hii nunua used maaana za dukan ni junk..

Kuhusu brake downs za hii gari hao watu wanaosema ni gari mbovu ni wanazungua hawajui kuzitunza wala hawafatilii kujua how to live na Nissan extrail.. but nj good car mkuu
Hapo kwenye ulazima wa ku change oil kila km 3000 bado pia ni kasoro,usiitetee kuwa ni gari nzuri,ukiwa na Toyota ambayo unatakiwa uchange engine oil km 3000 unaweza kujisahau ukafikisha mpaka km 5000 na bado gari ina dunda,sasa kwanini uing'ang'anie hiyo Nissan...
 
Wabongo hawana exposure ya vitu na mambo ya dunia, wakiona kitu ambacho ni kipya na hawawez kukimudu watakitia maneno mabaya ilimradi kionekane kibaya... Niseme tu wabongo hawana akili 😂
 
Mkuu, mfano waweza angalia hii gari wamerate kwa kiwango gani? Urban Cruiser (Toyota)

Huku haipo sana [emoji636] hata Which? Hamna ila unaweza kuisoma kwenye Auto Car
IMG_6883.jpg
 
Nissan X trail ni slay queen unataliwa kila muda unampeti peti akililia pipi unatakiwa kuwa na box tofauti na happy unatakiwa kumukimbia tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wakati unawaza kuulinda mfumo wa CVT transmission Kwa kutumia oil iliyokuwa unatakiwa na manufacturers pia bei ya spea iko juuu pia mafundi sio wa chini ya mti
 
Wabongo hawana exposure ya vitu na mambo ya dunia, wakiona kitu ambacho ni kipya na hawawez kukimudu watakitia maneno mabaya ilimradi kionekane kibaya... Niseme tu wabongo hawana akili 😂
Point
 
Nissan X trail ni slay queen unataliwa kila muda unampeti peti akililia pipi unatakiwa kuwa na box tofauti na happy unatakiwa kumukimbia tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wakati unawaza kuulinda mfumo wa CVT transmission Kwa kutumia oil iliyokuwa unatakiwa na manufacturers pia bei ya spea iko juuu pia mafundi sio wa chini ya mti
Endelea kumiliki Pikipiki SANLG
 
Ndio Mkuu ni magazine inayouzwa madukani pia unaweza kulipia kwa mwaka ni kwa hapa [emoji636]

Ila unaweza kusoma pia online na kuuliza kila kitu na ubora wake
Mimi huwa najiridhisha nao kwa kila kitu na hapo najua nanunua kitu chenye ubora upi
Niulizie Nissan Xtrail ya 2003 NT 30
 
Hapo kwenye ulazima wa ku change oil kila km 3000 bado pia ni kasoro,usiitetee kuwa ni gari nzuri,ukiwa na Toyota ambayo unatakiwa uchange engine oil km 3000 unaweza kujisahau ukafikisha mpaka km 5000 na bado gari ina dunda,sasa kwanini uing'ang'anie hiyo Nissan...
Kwa akili hizi, hata hizo toyota zinapata tabu
 
Mkuu na Mimi Kuna watu wengi tu nawajua wanalo(T30,1st Gen) tena No. A kabisa na yanapiga kazi kama kawaida.Na Kuna wawili wao walitumia xtrail baadae wakauza na waka agiza xtrail Tena,nadhani ziliwanogea Sana.Nadhani wanafuata Masharti yake yanayotakiwa Kama vile kutumia engine oil sahihi(sio mambo ya kutumia SAE-40,Gearbox oil sahihi,kutumia coolant na sio maji kwny rejeta etc
Kunae baba yangu mdogo yeye ni mjeda gari yake ya kwanza aliagiza x-trail ile gen ya kwanza kama hio aliopost mtoa mada. Akatembelea akauza enzi ile alisajili namba B akaja akaagiza hili la 2009 DQ analo mpaka sasa ila nilichojifunza tu ni kuwa ana hela ya kuyahudumia hayo magari na alimu influence dingi yangu mkubwa akayanunua mawili nae ana la namba B na jingine D aliyapenda sana japo ni mtu wa Toyota toka 90's! Alianzaga na Nissan Terrano box Air suspension akalizimia sana. Spare ndio zilikuwa kipengele ila hela ipo so anayamudu.

Wote wawili hawa hela sio tatizo kwao kwahio kimsingi Nissan hizo zinatusumbua wadau ambao hatuna hela ya ku upkeep costs of running sababu ziko juu sana. Tunataka counterfeit parts za bei kitonga, fluids za bei rahisi kinyume na manufacturer standards kitu ambacho gari pekee inayoweza kuvumilia hilo ni Toyota.
 
Back
Top Bottom