Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ukiona gari unanunua pekeako jua shida itakupata tu. Wanaonunua gari za kipekee za Toyota hawajawahi kupata shida. Ila ukinunua gari ya kipekee ya kampuni lingine lazma utubu.Mimi nimelipenda gari aina ya Mazda Verisa ila duh watu wanavyoponda hadi nimebaki njia panda