Kwanini gari aina ya Nissan X-trial used zinauzwa cheep sana?

"
kimsingi Nissan hizo zinatusumbua wadau ambao hatuna hela ya ku upkeep costs of running sababu ziko juu sana. Tunataka counterfeit parts za bei kitonga, fluids za bei rahisi kinyume na manufacturer standards kitu ambacho gari pekee inayoweza kuvumilia hilo ni Toyota."

😄😄😄😄 Naaam sasa hapo ndipo kiini chenyewe Cha tatizo kilipo mkuu 😄😄
 
Yah kwahio tatizo sio gari tatizo ni hela tu mkuu, hata hizi za wajerumani naona watu wanaendesha tu sikuhizi bila kujali. Ni gari nzuri sana japo upkeep costs zake ziko juu ila kama million 2-3 hazisumbui huezi kuona kero kumiliki audi au benz.
 
Hii gari imefeli mno kwenye majaribio ya kiajali, body frame yake ni karatasi, it's not a safe car hasa kubebea family. Kama fedha sio tatizo nenda na Toyota
Uongo huo mzee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo ameongelea kwa preference zake ila si mandatory kwamba unatakiwa ubadili oil after every 3000km.

Kuna engine oil ambazo zinalast zaidi ya muda huo.
 
Inategemea na X trail ipi. Sababu si zote zinatumia mfumo wa CVT.
 
"Kujisahau"

Kwanini ujisahaulishe jambo la msingi kama hili?

Au ni uwezo hakuna?
 
Wanasema utamu WA ngoma ingia ucheze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…