mimi ni kati ya binadamu wasioweza kuhimili maisha yeyote.....kuna maisha i will do anything kuliko kuyaishi.........
Huwezi kumpima mtu kila siku kawa kipimo kile kile!Ila hapo kwenye kuelezana umenena...kujua sababu kunaondoa maswali!
Mkuu angalia avatar bana she is a woman..., and not only a woman but a LadyKaka, hawa wadada zetu ukiwatafsiri kwa namna hiyo ndo wanakuja juu balaa, na wengine wanakuwa mbogo mpaka kudai hata wao wana uwezo wa kuzipata hizo pesa. Kwa hiyo tunawapa ukweli halisi na kuwasisitizia hivyo hata kama hawataki kumeza, tutawamezesha tu
mimi ni kati ya binadamu wasioweza kuhimili maisha yeyote.....kuna maisha i will do anything kuliko kuyaishi.........
Agreed as long as malengo na nia ni nzuri!
Mkuu angalia avatar bana she is a woman..., and not only a woman but a Lady
Kama unamaamuzi kama haya kabla ya lolote kutokea basi lijulikane wazi.
Maana binadamu tunakulia maisha tofauti . . . . . mfano kama mimi naweza kuishi kwa mlo mmoja kwa siku, na tena mlo wa ugali na dagaa mwenzangu huwezi basi likijulikana mapema nadhani njia mbadala inaweza kupangwa mapema pia
Siamini kama kupelekwa GESTI harusi ni dharau ila inatokana na nia ya wapendanao hao,Ila wanawake wanaochukuria ni dharau inatokana na hadhi yake kama ni mtu wa penthouse au suite ukimpeleka double room anaweza kuhisi darau kumbe mtu umereflect maisha yako.Nimeona malalamiko na matukio kibao yanayotokea nyumba za wageni yakiletwa humu!Wengine utawagundua ni maInfii kwahiyo hawawezi kupelekana nyumbani ila wengine ni mabachela!Sasa kwa hawa walio single kwanini hua wanapelekana gesti na sio kwenye makazi yao?Jinsi mtu anavyo-value uhusiano inachangia...au ndo inaonyesha kwamba hamna uhusiano pale wala heshima kwa kiasi fulani?Binafsi hua nafikiria mwanaume mpaka akupeleke gesti anakua amekudharau sana!Embu kakaz mtuambie...ni kwanini?
Hakuna mtu ambae hawezi au anaweza bana.., people adapt..., usiniambie leo hapa pakizuka vita ikawa kama Afaghanistan watu hawataanza kula chura kwa ubuyu... lets get real people....
Kumbe yote ni kujali uwepo wangu ehh?Ila UngaLTD usije kuna vibaka sana!Usije ukakabwa kabari mara uchomwe na bisibisi alafu mimi ndo nikupoteze wewe!So When I come to Unga limited, Kutotaka wewe kupaona kwangu usidhani nakuchezea, au nakudharau, its just a fear of loosing you.. and am just taking it slow...
Mara nyingi watu wanaosema hayo maneno,hubadilisha maamuzi wakati ukifikaSi Ameshasema kwamba ni BORA AFE KULIKO KUYAISHI HAYO MAISHA
Kusema bora afe haina maana hiyo hali..whatever it may be..itamuua!Sema ni kile kitendo cha watu kujiendekeza tu!Hichi siwezi..kile sitaki,mbona wanayoishi hayo maisha au wanaopitia hizo challenge wanaishi!Si Ameshasema kwamba ni BORA AFE KULIKO KUYAISHI HAYO MAISHA
dah! yaani michelle unanipiga kibuti mbele ya voiceofreason na gaijin? sawa bana Mungu atanilipiatafuta anayekubaliana na hiyo guest,wapo wa matawi watakaokubali pia......:coffee:
dah! laivundio umejua sasa...... na ndo ukweli
dah! yaani michelle unanipiga kibuti mbele ya voiceofreason na gaijin? sawa bana Mungu atanilipia
Kusema bora afe haina maana hiyo hali..whatever it may be..itamuua!Sema ni kile kitendo cha watu kujiendekeza tu!Hichi siwezi..kile sitaki,mbona wanayoishi hayo maisha au wanaopitia hizo challenge wanaishi!