Kwanini gesti?

Kwanini gesti?

mimi ni kati ya binadamu wasioweza kuhimili maisha yeyote.....kuna maisha i will do anything kuliko kuyaishi.........
Michelle ni kwamba huwezi au hutaki?Kama hakidhuru kwanini kisiwezekane?
 
mimi ni kati ya binadamu wasioweza kuhimili maisha yeyote.....kuna maisha i will do anything kuliko kuyaishi.........

We always underestimate ourselves, ofcourse with choice hakuna anayechoose kibaya lakini when a push comes to shove...., we are capable of anything..
 
Huwezi kumpima mtu kila siku kawa kipimo kile kile!Ila hapo kwenye kuelezana umenena...kujua sababu kunaondoa maswali!

Huo nimesema ni mfano mmoja wapo tu, yapo mengi sana . . . sio kwamba kila siku ni hilo hilo tu
 
so long as you will end up between my arms with my ring between your fingers and deep love inside your heart, who cares about the means ?....
Its just a means to an end.
Agreed as long as malengo na nia ni nzuri!
 
Kaka, hawa wadada zetu ukiwatafsiri kwa namna hiyo ndo wanakuja juu balaa, na wengine wanakuwa mbogo mpaka kudai hata wao wana uwezo wa kuzipata hizo pesa. Kwa hiyo tunawapa ukweli halisi na kuwasisitizia hivyo hata kama hawataki kumeza, tutawamezesha tu
Mkuu angalia avatar bana she is a woman..., and not only a woman but a Lady
 
mimi ni kati ya binadamu wasioweza kuhimili maisha yeyote.....kuna maisha i will do anything kuliko kuyaishi.........

Kama unamaamuzi kama haya kabla ya lolote kutokea basi lijulikane wazi.
Maana binadamu tunakulia maisha tofauti . . . . . mfano kama mimi naweza kuishi kwa mlo mmoja kwa siku, na tena mlo wa ugali na dagaa mwenzangu huwezi basi likijulikana mapema nadhani njia mbadala inaweza kupangwa mapema pia
 
Agreed as long as malengo na nia ni nzuri!

So When I come to Unga limited, Kutotaka wewe kupaona kwangu usidhani nakuchezea, au nakudharau, its just a fear of loosing you.. and am just taking it slow...
 
Kama unamaamuzi kama haya kabla ya lolote kutokea basi lijulikane wazi.
Maana binadamu tunakulia maisha tofauti . . . . . mfano kama mimi naweza kuishi kwa mlo mmoja kwa siku, na tena mlo wa ugali na dagaa mwenzangu huwezi basi likijulikana mapema nadhani njia mbadala inaweza kupangwa mapema pia

Hakuna mtu ambae hawezi au anaweza bana.., people adapt..., usiniambie leo hapa pakizuka vita ikawa kama Afaghanistan watu hawataanza kula chura kwa ubuyu... lets get real people....
 
Nimeona malalamiko na matukio kibao yanayotokea nyumba za wageni yakiletwa humu!Wengine utawagundua ni maInfii kwahiyo hawawezi kupelekana nyumbani ila wengine ni mabachela!Sasa kwa hawa walio single kwanini hua wanapelekana gesti na sio kwenye makazi yao?Jinsi mtu anavyo-value uhusiano inachangia...au ndo inaonyesha kwamba hamna uhusiano pale wala heshima kwa kiasi fulani?Binafsi hua nafikiria mwanaume mpaka akupeleke gesti anakua amekudharau sana!Embu kakaz mtuambie...ni kwanini?
Siamini kama kupelekwa GESTI harusi ni dharau ila inatokana na nia ya wapendanao hao,Ila wanawake wanaochukuria ni dharau inatokana na hadhi yake kama ni mtu wa penthouse au suite ukimpeleka double room anaweza kuhisi darau kumbe mtu umereflect maisha yako.

Hakuna mtu ambae hawezi au anaweza bana.., people adapt..., usiniambie leo hapa pakizuka vita ikawa kama Afaghanistan watu hawataanza kula chura kwa ubuyu... lets get real people....

Si Ameshasema kwamba ni BORA AFE KULIKO KUYAISHI HAYO MAISHA
 
So When I come to Unga limited, Kutotaka wewe kupaona kwangu usidhani nakuchezea, au nakudharau, its just a fear of loosing you.. and am just taking it slow...
Kumbe yote ni kujali uwepo wangu ehh?Ila UngaLTD usije kuna vibaka sana!Usije ukakabwa kabari mara uchomwe na bisibisi alafu mimi ndo nikupoteze wewe!
 
Si Ameshasema kwamba ni BORA AFE KULIKO KUYAISHI HAYO MAISHA
Kusema bora afe haina maana hiyo hali..whatever it may be..itamuua!Sema ni kile kitendo cha watu kujiendekeza tu!Hichi siwezi..kile sitaki,mbona wanayoishi hayo maisha au wanaopitia hizo challenge wanaishi!
 
dada zetu wanataka ikifika wakati mwanaume anataka kufanya nae mapenzi basi inapaswa apajue anapokaa mwanaume
naona hii ina-sound kama mbinu ya kumshika mwanaume asikimbie na badala ya kumdharau mwanamke . . . lol
 
dah! yaani michelle unanipiga kibuti mbele ya voiceofreason na gaijin? sawa bana Mungu atanilipia

wewe kila kitu utalipiwa....nimekuambia tafuta mshiko unaleta tiba zako zisizotibu.......em niache mimi,tena usiseme tunajuana Kloro...please Kloro,heshima yangu itashuka.....l.o.l
 
Kusema bora afe haina maana hiyo hali..whatever it may be..itamuua!Sema ni kile kitendo cha watu kujiendekeza tu!Hichi siwezi..kile sitaki,mbona wanayoishi hayo maisha au wanaopitia hizo challenge wanaishi!

Hivi unajua unaweza ukapoteza afya yako au hata kufa kabisa kama HUKIAMINI UNACHOKULA???
 
Back
Top Bottom