Wanawashughulikia kwanza angani kisha wanaingia kwa ground baadae hamas na magaidi wenzake wakishatepeta
Hakuna nchi inashinda vita kwa anga lazima waingize miguu yao chini.
Hebu piga hesabu boom moja la us linalo tumika kuangusha majumba ya Ghaza hata liwe ghorofa 12 lina cost ngapi.
Missile moja ya Hamasi haicost hata 1000 dollars Irone dom ina cost moja 100,000
Umeona majumba ya Asqalan, ghalaf gaza,Sedod, na Beir 7 au hujasikia habari zake.
Umeona sehemu Missiles za Hamasi zilivyo vuruga Tela Aviv au hujaona.
We unajua cost ya ndege za kivita kwa siku zina cost kiasi gani ku operate, navy na ground force.
Hivi hao ground force chakula Chao tu kwa siku unajua inawagharamia ngapi, na ulinzi wao 😂 vita inataka akili sio kelele kwenye media.
Poleni sana zile kambi za jeshi na base zilizo pigwa sijui zitawagharamia mabillion mangapi America peleka tu pesa kama hatujaona wa America wapo mpagala wanauza samaki wa kuchoma 😂