Kwanini hadi leo NATO na Israel haijangia kwa miguu gaza?

Kwanini hadi leo NATO na Israel haijangia kwa miguu gaza?

nakuchapa kwenu kisha nabeba mabinti chuchu saa sita nawapeleka geto.icho ndio walichofanya Hamas
Mawazo ya kipumbavu sana haya!! Yaani kama Israel wangekuwa na akili kama hizi, hata wangetaka wana wake wote wa Gaza wangewachukua na kuwafanyia hivyo!! Ila wao wameamua kutoa kipondo tu, hadi akili zamu hii ziwakae sawa, na NETANYAHU amewaambia zamu hii anataka awaachie fundisho hadi wajukuu zenu wasije thubutu kufanya ujinga huu tena!! Leo hii karibia watu 5500(Wapalestina) wameuawa, na kwanza vita haijaanza rasmi!!
 
Hakuna nchi inashinda vita kwa anga lazima waingize miguu yao chini.

Hebu piga hesabu boom moja la us linalo tumika kuangusha majumba ya Ghaza hata liwe ghorofa 12 lina cost ngapi.

Missile moja ya Hamasi haicost hata 1000 dollars Irone dom ina cost moja 100,000

Umeona majumba ya Asqalan, ghalaf gaza,Sedod, na Beir 7 au hujasikia habari zake.

Umeona sehemu Missiles za Hamasi zilivyo vuruga Tela Aviv au hujaona.

We unajua cost ya ndege za kivita kwa siku zina cost kiasi gani ku operate, navy na ground force.

Hivi hao ground force chakula Chao tu kwa siku unajua inawagharamia ngapi, na ulinzi wao 😂 vita inataka akili sio kelele kwenye media.


Poleni sana zile kambi za jeshi na base zilizo pigwa sijui zitawagharamia mabillion mangapi America peleka tu pesa kama hatujaona wa America wapo mpagala wanauza samaki wa kuchoma 😂
Sawa we enedelea kuchekelea nyuma ya keyboard ila ujue wenzako wanachukua kipigo hapa Gaza
 
Mtume saw alipigana vita pindi vita vilipokuja,hakuwa kiongozi wa kukaa ikulu na kupiganisha wengine
Mtume wa Mungu anatakiwa awe matumaini kwa wanadamu na sio kushiriki kumwaga damu. Kama kweli ni mtume hiyo vita aikabidhi kwa Mungu
 
Ni suala la muda tu uvamizi upo pale pale kwa njia zote kuanzia Angani, baharini na ardhini mpaka magaidi yote ya sambaratishwe gaza
 
Mtume wa Mungu anatakiwa awe matumaini kwa wanadamu na sio kushiriki kumwaga damu. Kama kweli ni mtume hiyo vita aikabidhi kwa Mungu
Hivi binadamu anaweza himili hasira na ghadhabu ya Mungu??
Pia mtume anatakiwa kuwa tumaini kwa wale wenye kuamini na sio kuwachekea wale wanaokandamiza watu na kusudi la Mungu.
Vita zote alizopigana mtume ni za kutetea watu dhidi ya ukandamizaji wa wengine.
Utakua muumini wa aina Gani kama huwezi kulinda amana ya Mungu??
Mungu ni mkubwa sana kwetu kumkabidhi vita zetu.
 
ona sasa yale yale tunayo ya kataa ya hadithi za kusadikika na kulishana matango pole...enhee kwa hiyo MUNGU alituma jeshi la malaika siyoo! ulishuhudia kwa macho yako?
 
Hiyo inahusiana nini na mada??
Kitu gani unajaribu kukilenga au kukifafanua??
Sawa waarabu mashoga wapo aya unalenga Nini??
Bwana mdogo kuwa na mipaka unapojibishana na kuniuliza uliza maswali hovyo hovyo. Kwanza kiumri nimekuzidi, kifedha nimekuzidi, kielimu nimekuzidi na exposure pia.

Sipendi upuuz . I demand an apology NOW.

Sauh'waah?!
 
Palestina hana silaha kubwa. Yeye anatumia manati na jiwe huku NATO na Isreal wakitumia mabomu yenye kuangamiza na yaliopigwa marufuku duniani.

Lakini kwanini hadi leo wanaogopa kuingia kwa miguu? Soma kidogo waislam wanavyopigana.

SOMA
Siku ya tarehe kumi na saba ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ina tukio kubwa kwa waislamu wote, ni siku ya kumbukumbu ya vita ya Badri, ambayo ni vita ya kwanza baina ya waislamu na makafiri wa kikuraishi, pia vita hii ni miongoni mwa vita mashuhuri zaidi iliyo ongozwa na Mtume (s.a.w.w) dhidi ya makafiri, ina nafasi kubwa katika historia ya kiislamu ukilinganisha na vita zingine, maswahaba walio shiriki katika vita hii wamepata heshima kubwa na utukufu wapekee kabisa, historia imeelezea ushujaa wao kwa utukufu mkubwa. Baada ya Mtume (s.a.w.w) kufahamu idadi ya wapiganaji wa makuraishi na viongozi wao.

aliwaambia wapiganaji wake walio kua wachache na wenye siraha duni za kivita ukilinganisha na makuraishi, Mtume (s.a.w.w) akasema: (Hawa watu wa Maka wamekujieni na wapiganaji wao hodari). Vita ikaanza, Ali (a.s) akaingia katika uwanja wa mapambano, majeshi mawili yakaanza kupigana kwa mishale na majambia

Mwenyezi Mungu (akatoa amri Malaika wakaingia vitani kuwasaidia waislamu), wailamu wakawashinda washirikina… na ushindi wa waislamu ilikua ni ahadi ya kweli ya Mwenyezi Mungu, waumini wakajaa imani zaidi, wakawauwa washirikina kwa jambia zao, upanga wa Dhulfiqaar uliua nusu ya washirikina wote walio uawa katika vita hiyo.

Makuraishi waliumizwa sana kwa kuuawa kwao lakini wakaficha machungu yao mbele ya Mtume na maswahaba wake…
kwaiyo vita ya ardhini ndo maraika wanaweza kuingiia ila ya angani awawez....kweli Africa kunatatizo😄😄
 
Bwana mdogo kuwa na mipaka unapojibishana na kuniuliza uliza maswali hovyo hovyo. Kwanza kiumri nimekuzidi, kifedha nimekuzidi, kielimu nimekuzidi na exposure pia.

Sipendi upuuz . I demand an apology NOW.

Sauh'waah?!
WE NI MPUMBAVU USIEJIELEWA.
NA MPUMBAVU HUJIBIWA KWA UPUMBAVU.
PIA MWENYE PESA HAJITAMBI KIJANA.
 
Bwana mdogo kuwa na mipaka unapojibishana na kuniuliza uliza maswali hovyo hovyo. Kwanza kiumri nimekuzidi, kifedha nimekuzidi, kielimu nimekuzidi na exposure pia.

Sipendi upuuz . I demand an apology NOW.

Sauh'waah?!
Una hela gani ww mbeba box na machamba mavi ya mabibi wa kizungu?😃😃😃😃😃😃😃😃
 
Kuna haja Gani ya kupoteza Risasi wakati SIEGE INATOSHA! [emoji38][emoji38][emoji38]
mwanadamu Akikosa Kabisa Kabisa Maji, chakula, mwanga, Dawa...Akiishi zaidi ya siku.7 Kuna hoja Kwa Waumini[emoji15]
Unajidanganya sana wewe. Eti wafe kwa njaa, hawakufa afaghanistan miaka 15. Waislam sii wa kufa na njaa
 
Back
Top Bottom