white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Mawazo ya kipumbavu sana haya!! Yaani kama Israel wangekuwa na akili kama hizi, hata wangetaka wana wake wote wa Gaza wangewachukua na kuwafanyia hivyo!! Ila wao wameamua kutoa kipondo tu, hadi akili zamu hii ziwakae sawa, na NETANYAHU amewaambia zamu hii anataka awaachie fundisho hadi wajukuu zenu wasije thubutu kufanya ujinga huu tena!! Leo hii karibia watu 5500(Wapalestina) wameuawa, na kwanza vita haijaanza rasmi!!nakuchapa kwenu kisha nabeba mabinti chuchu saa sita nawapeleka geto.icho ndio walichofanya Hamas
Sawa we enedelea kuchekelea nyuma ya keyboard ila ujue wenzako wanachukua kipigo hapa GazaHakuna nchi inashinda vita kwa anga lazima waingize miguu yao chini.
Hebu piga hesabu boom moja la us linalo tumika kuangusha majumba ya Ghaza hata liwe ghorofa 12 lina cost ngapi.
Missile moja ya Hamasi haicost hata 1000 dollars Irone dom ina cost moja 100,000
Umeona majumba ya Asqalan, ghalaf gaza,Sedod, na Beir 7 au hujasikia habari zake.
Umeona sehemu Missiles za Hamasi zilivyo vuruga Tela Aviv au hujaona.
We unajua cost ya ndege za kivita kwa siku zina cost kiasi gani ku operate, navy na ground force.
Hivi hao ground force chakula Chao tu kwa siku unajua inawagharamia ngapi, na ulinzi wao 😂 vita inataka akili sio kelele kwenye media.
Poleni sana zile kambi za jeshi na base zilizo pigwa sijui zitawagharamia mabillion mangapi America peleka tu pesa kama hatujaona wa America wapo mpagala wanauza samaki wa kuchoma 😂
Mtume wa Mungu anatakiwa awe matumaini kwa wanadamu na sio kushiriki kumwaga damu. Kama kweli ni mtume hiyo vita aikabidhi kwa MunguMtume saw alipigana vita pindi vita vilipokuja,hakuwa kiongozi wa kukaa ikulu na kupiganisha wengine
Hiyo inahusiana nini na mada??
Hivi binadamu anaweza himili hasira na ghadhabu ya Mungu??Mtume wa Mungu anatakiwa awe matumaini kwa wanadamu na sio kushiriki kumwaga damu. Kama kweli ni mtume hiyo vita aikabidhi kwa Mungu
Bwana mdogo kuwa na mipaka unapojibishana na kuniuliza uliza maswali hovyo hovyo. Kwanza kiumri nimekuzidi, kifedha nimekuzidi, kielimu nimekuzidi na exposure pia.Hiyo inahusiana nini na mada??
Kitu gani unajaribu kukilenga au kukifafanua??
Sawa waarabu mashoga wapo aya unalenga Nini??
kwaiyo vita ya ardhini ndo maraika wanaweza kuingiia ila ya angani awawez....kweli Africa kunatatizo😄😄Palestina hana silaha kubwa. Yeye anatumia manati na jiwe huku NATO na Isreal wakitumia mabomu yenye kuangamiza na yaliopigwa marufuku duniani.
Lakini kwanini hadi leo wanaogopa kuingia kwa miguu? Soma kidogo waislam wanavyopigana.
SOMA
Siku ya tarehe kumi na saba ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ina tukio kubwa kwa waislamu wote, ni siku ya kumbukumbu ya vita ya Badri, ambayo ni vita ya kwanza baina ya waislamu na makafiri wa kikuraishi, pia vita hii ni miongoni mwa vita mashuhuri zaidi iliyo ongozwa na Mtume (s.a.w.w) dhidi ya makafiri, ina nafasi kubwa katika historia ya kiislamu ukilinganisha na vita zingine, maswahaba walio shiriki katika vita hii wamepata heshima kubwa na utukufu wapekee kabisa, historia imeelezea ushujaa wao kwa utukufu mkubwa. Baada ya Mtume (s.a.w.w) kufahamu idadi ya wapiganaji wa makuraishi na viongozi wao.
aliwaambia wapiganaji wake walio kua wachache na wenye siraha duni za kivita ukilinganisha na makuraishi, Mtume (s.a.w.w) akasema: (Hawa watu wa Maka wamekujieni na wapiganaji wao hodari). Vita ikaanza, Ali (a.s) akaingia katika uwanja wa mapambano, majeshi mawili yakaanza kupigana kwa mishale na majambia
Mwenyezi Mungu (akatoa amri Malaika wakaingia vitani kuwasaidia waislamu), wailamu wakawashinda washirikina… na ushindi wa waislamu ilikua ni ahadi ya kweli ya Mwenyezi Mungu, waumini wakajaa imani zaidi, wakawauwa washirikina kwa jambia zao, upanga wa Dhulfiqaar uliua nusu ya washirikina wote walio uawa katika vita hiyo.
Makuraishi waliumizwa sana kwa kuuawa kwao lakini wakaficha machungu yao mbele ya Mtume na maswahaba wake…
WE NI MPUMBAVU USIEJIELEWA.Bwana mdogo kuwa na mipaka unapojibishana na kuniuliza uliza maswali hovyo hovyo. Kwanza kiumri nimekuzidi, kifedha nimekuzidi, kielimu nimekuzidi na exposure pia.
Sipendi upuuz . I demand an apology NOW.
Sauh'waah?!
Bwana mdogo usinilazimishe nikutamkie neno baya kwako ikawa laana.WE NI MPUMBAVU USIEJIELEWA.
NA MPUMBAVU HUJIBIWA KWA UPUMBAVU.
PIA MWENYE PESA HAJITAMBI KIJANA.
Una hela gani ww mbeba box na machamba mavi ya mabibi wa kizungu?😃😃😃😃😃😃😃😃Bwana mdogo kuwa na mipaka unapojibishana na kuniuliza uliza maswali hovyo hovyo. Kwanza kiumri nimekuzidi, kifedha nimekuzidi, kielimu nimekuzidi na exposure pia.
Sipendi upuuz . I demand an apology NOW.
Sauh'waah?!
Unajidanganya sana wewe. Eti wafe kwa njaa, hawakufa afaghanistan miaka 15. Waislam sii wa kufa na njaaKuna haja Gani ya kupoteza Risasi wakati SIEGE INATOSHA! [emoji38][emoji38][emoji38]
mwanadamu Akikosa Kabisa Kabisa Maji, chakula, mwanga, Dawa...Akiishi zaidi ya siku.7 Kuna hoja Kwa Waumini[emoji15]
Doh pole sana.Bwana mdogo usinilazimishe nikutamkie neno baya kwako ikawa laana.
watch your big mouth!
Chaliifrancisco