Kwanini Haji Manara anatangaza maji ya Uhai ya Azam badala ya maji ya Masafi ya Mo?

Kwanini Haji Manara anatangaza maji ya Uhai ya Azam badala ya maji ya Masafi ya Mo?

Circle ipo hivi...
MO anaweka pesa Simba, Simba inaperform vizuri kutokana na hela za MO inakuwa timu maarufu.
Manara anapata umaarufu kutokana na simba inayoperform vizuri ( chanzo ni hela za MO), anautumia huo umaarufu kutangaza bidhaa za GSM na Azam, hivyo hela za MO zinasaidia kutangaza bidhaa za GSM na Azam kwa mlango wa nyuma.
Ni zwazwa tu atakubali hili swala.
 
Kwani maji ya Mo yana mkataba na Simba, anachokosea Haji Manara ni kushindwa kutofautisha ajira yake na mikataba yake binafsi. Bakhresa na Gsm wanatamani kutangaza bidhaa zao kupitia washabiki wa Simba lakini wanajua itakuwa vigumu kupata hiyo nafasi

Bakhresa sababu mwekezaji wa Simba ana bidhaa shindani dhidi yake wakati Gsm anajulikana ni mshabiki na mfadhili wa yanga walichofanya ni kumtumia Haji ama kwa kujua au bila kujijua.

Mfano halisi ni siku Simba wanapokea kombe baada ya mechi na Namungo badala ya Haji kuizungumuzia Simba anaanza kupromot bidhaa za Azam.

Haji akifukuzwa au kujitoa Simba dili zote zitakufa maana walengwa watakuwa hawapatikani na ndio maana alikuwa na kiburi cha kukataa kusaini mkataba wa mshahara wa milioni 4akijua fika atakosa malupulupu mengine.

Kipindi kile anapelekwe Spain wakati kaajiliwa alichukua likizo au alikuwa akitumikia mabwana wawiwi.
Haji amewashawishi GSM na Azam kuwa yeye ana watu kwa kuwaonyesha account ya Instagram kuwa Ina followers wengi, na hiyo ni kweli kwakuwa account ya Haji wapo wa Simba na hata wa Yanga wanaokwenda ama kumsikikiza au kumwambia, kumjibu na kumkosoa.

Lakini hata Haji hana uhakiwa kuwa nje ya Simba account yake itaendelea kunona au la. Maana hata nyigu ukiondoa jumba lake (Sega) wanageuka wadudu wa kawaida, hawawi nyigu.
 
Circle ipo hivi...
MO anaweka pesa Simba, Simba inaperform vizuri kutokana na hela za MO inakuwa timu maarufu.
Manara anapata umaarufu kutokana na simba inayoperform vizuri ( chanzo ni hela za MO), anautumia huo umaarufu kutangaza bidhaa za GSM na Azam, hivyo hela za MO zinasaidia kutangaza bidhaa za GSM na Azam kwa mlango wa nyuma.
Ni zwazwa tu atakubali hili swala.

Ni kweli kabisa, GSM na AZAM wananufaika na pesa za MO
 
Mbona Tarimba mwana yanga kindaki ndaki na kampuni yake wanaidhamini simba.
Tarimba sio kiongozi Yanga, kama akiwania uongozi Yanga huo mgongano wa maslahi utamwandama. Akitaka agombee TFF lakini sio Yanga, labda kama atajiuzulu ukurugenzi wa Sportpesa na kumkabidhi mwanawe au mtu mwingine kama alivyofanya Trump alipochaguliwa kuwa Rais
 
Circle ipo hivi...
MO anaweka pesa Simba, Simba inaperform vizuri kutokana na hela za MO inakuwa timu maarufu.
Manara anapata umaarufu kutokana na simba inayoperform vizuri ( chanzo ni hela za MO), anautumia huo umaarufu kutangaza bidhaa za GSM na Azam, hivyo hela za MO zinasaidia kutangaza bidhaa za GSM na Azam kwa mlango wa nyuma.
Ni zwazwa tu atakubali hili swala.
Hiki ndicho kinachomuuma Barbara na pengine Mo na friends of Simba wote na sio kuihujumu Simba kwa kutoa Siri za club, kwa vyovyote vile Haji hawezi kukubali Simba ifungwe kupitia yeye, lakini anaihujumu timu kwa kupunguza mapato ya mo anaeigharimia mishahara ya wachezaji kwa kutangaza maji na juice za Azam na ASAS badala ya kutangaza maji ya masafi, mo juice na energy ambazo ni bidhaa shindani sokoni.

Barbara gave the dog a bad name so that they can hang it. Lakini ukweli Haji hapendi Simba ifungwe na Yanga, lakini indirectly anaihujumu kweli hasa pale anapopunguza mapato ya mo anayeihudumia timu. Inawezekana pesa nyingi ya kulihudumia timu inatoka kwenye mauzo ya maji ya Masafi ambayo Haji ameyakaba shingo na maji ya Uhai sokoni
 
Circle ipo hivi...
MO anaweka pesa Simba, Simba inaperform vizuri kutokana na hela za MO inakuwa timu maarufu.
Manara anapata umaarufu kutokana na simba inayoperform vizuri ( chanzo ni hela za MO), anautumia huo umaarufu kutangaza bidhaa za GSM na Azam, hivyo hela za MO zinasaidia kutangaza bidhaa za GSM na Azam kwa mlango wa nyuma.
Ni zwazwa tu atakubali hili swala.
Umeiweka sawasaw hili wachambuzi wengi hawalioni hili
 
Kuna kitu kinaitwa "conflict of interest"

Je, inaswihi kwa Haji ambae Boss wake mo ana biashara ya Maji na wakati huohuo Haji kwenda kutangaza biashara ya Maji kwa Azam? mo ana maji ya masafi na Azam ana maji ya Uhai. Mo ana timu ya Simba na Azam ana timu ya Azam.

Hii imekaaje kikanuni?

Mo ajampa ela ya kutangaza hiyo biashara ya maji yake

Ila GSM kamlipa Haji kutangaza bidhaa zake
 
Kuna kitu kinaitwa "conflict of interest"

Je, inaswihi kwa Haji ambae Boss wake mo ana biashara ya Maji na wakati huohuo Haji kwenda kutangaza biashara ya Maji kwa Azam? mo ana maji ya masafi na Azam ana maji ya Uhai. Mo ana timu ya Simba na Azam ana timu ya Azam.

Hii imekaaje kikanuni?
Kuna sehemu yoyote simba wamemlaumu haji kwa kutangaza hizo bidhaa? Simba wanamtuhumu haji kuihujumu timu
 
Msaliti gani mnalipa laki7 nyinyi wahuni!!
Si alipewa mkataba wa milioni 4....akang'ang'ania hiyo hiyo "seven hundred" ili ale vinono vya GSM, msaliti ni msaliti tu...kakutana na Barbra mtoto wa mjini aliyeenda shule...kaanza kulia lia kwenye voice note🐒🤣
2855686_IMG_20210724_153342.jpg

IMG_20210724_153342.jpg
 
Barbra mtata sana kamfinya manara kidogo tu jamas kapiga ukunga huo
Ni njaa TU, lakini Haji anafanana na Yanga zaidi kuliko Simba. Hakuna kitu kibaya kama unazaliwa TU Cha kwanza kuona ni jeez ya baba yako ya rangi ya njano na kijani. Ina maana Haji alianza lini kuichukia Yanga, maana yake kumchukia baba yake mzazi uwanjani na nyumbani?
 
Si alipewa mkataba wa milioni 4....akang'ang'ania hiyo hiyo "seven hundred" ili ale vinono vya GSM, msaliti ni msaliti tu...kakutana na Barbra mtoto wa mjini aliyeenda shule...kaanza kulia lia kwenye voice note🐒🤣
2855686_IMG_20210724_153342.jpg

View attachment 1866206
Jamani sio kwenye msiba hapa. Haji anamfahamu Gharib zaidi kuliko mo,Yuko karibu na Gharib zaidi kuliko mo, alimfahamu Gharib zamani kuliko mo.
 
Jamani sio kwenye msiba hapa. Haji anamfahamu Gharib zaidi kuliko mo,Yuko karibu na Gharib zaidi kuliko mo, alimfahamu Gharib zamani kuliko mo.
Na hata Yanga anaifahamu kuliko Simba, yupo karibu zaidi na Yanga kuliko Simba ndio maana ni rahisi kuisaliti Simba kwa ajili ya Yanga🤣
 
Back
Top Bottom