Kwanini Haji Manara anatangaza maji ya Uhai ya Azam badala ya maji ya Masafi ya Mo?

Hujui kama hizo ni deal?
Hujui kama watu wanaingia mikataba?
Sababu za kutoingia mkataba zinaweza kuwa mbalimbali ikiwemo maslahi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwani Manara ameajiliwa kwenye uzalishahi wa hayo maji..!!?
 
Manara mhuni tu, Simba ifike mahala tuweke watu waelevu wasiyo na uswahili kuzidi, najua Manara kapata dili nyingi Sana kwa mgongo wa Simba SC, akiwekwa kando baada ya mwaka tu wanamkacha!
ninadhani ulitaka kusema watu waungwana, kwakuwa werevu hata Haji anao ndo maana amefaulu kufanya afanyacho.
 
Barbara ni mtoto wa mjini aliyeenda shule...Manara na mikwara yote kaishia kujirekodi mwenye simu analia ili wamuonee hurumaπŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hayawihayawi mbona yamekuwa! Ngoja tuone itakuwaje
Nalog off
 
MO SIYO BOSI WA MANARA
 
Kuna sehemu yoyote simba wamemlaumu haji kwa kutangaza hizo bidhaa? Simba wanamtuhumu haji kuihujumu timu
Akihujumu kipato cha boss ni sawa na kuihujumu timu na bado alipwe 700,000/= na boss huyo huyo. What the https://jamii.app/JFUserGuide!!!!!
 
Manara ilitakiwa akae upande mmoja.
Wa MO au Azam au GSM

Hawa ni Matajiri na wanahitaji wateja wa bidhaa zao.
Tena wanahitaji wateja kwa bidhaa zinazofanana.
Yaani huwezi kuwa Afisa Masoko wa
Cocacola na Pepsi wakati mmoja huku wote wanafahamu.

Manara angetangaza bidhaa nyingine ambazo haziingiliani na zile za Tajiri wake ungebaki salama.

Angechagua ama abaki na MO, au Azam, au GSM.
Kitendo cha kwenda huku na huku kinaondoa imani kwa Tajiri husika.

Hata mimi singekubali.
MO kamvumilia sana Manala kwa sababu ya Busara zake binafsi.
 
MO SIYO BOSI WA MANARA
Una maanisha nini? Kama timu unayoifanyia kazi bosi wake ni mo kipi wewe mo asiwe boss wako. Kama A=B na B=C kwanini A isiwe sawa sawa na C pia?

Asikudanganye mtu mashabiki wa Simba wanakuja uwanjani kwakuwa Simba inashinda mechi zake. Timu inashinda kwakuwa Ina wachezaji wazuri na wachezaji wazuri nacheza vizuri kwakuwa wamelipwa na anaewalipa ni mo, na mo anapata pesa za kuwalipa wachezaji wazuri kutokana na kuuza maji ya masafi, na Haji anauza maji ya Uhai ya Azam sokoni ili mo asipate hela za kuwalipa vizuri wachezaji. Kwa hili Haji ni msaliti wa Simba bila kupepesa macho Wala kupindisha maneno.

Haji alitakiwa kudai mshahara na mkataba kwa Simba hata kupitia vyombo vya Sheria lakini sio kufanyakazi za mshindani wa mo. Kumfukuza Haji Simba ni halali kabisaa.
 
Haji hana mkataba .
Kuwa mfanyakazi sio kuwa Mfanyakazi wa MO na DEMU WAKE
 
Haji sio mfanyakazi wa MO ,
 
Upo tayari kuusariti mkataba wako mnono kwa kumfurahisha bwanyenye anae kuwekea kigingi kuendelea kusaka tonge?
Kama hukubaliani na mshahara acha kazi au tafuta haki yako kwenye vyombo vya kudai haki upewe haki yako, sio vinginevyo. Haji kakosea sana. Huko kunaitwa kujichukulia sheria mkononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…