Kwanini Haji Manara anatangaza maji ya Uhai ya Azam badala ya maji ya Masafi ya Mo?

Simba ni Simba na Mo ni MO.Pia HAJI sio mfanyakazi wa MO company ,wala Simba haina mkataba wa kazi na Haji,
 
Kama hukubaliani na mshahara acha kazi au tafuta haki yako kwenye vyombo vya kudai haki upewe haki yako, sio vinginevyo. Haji kakosea sana. Huko kunaitwa kujichukulia sheria mkononi.
Miaka sita hana Mkataba wa kazi .wewe unaweza kukaa na Mhindi kama Mo bila mkataba?
 
Simba ni Simba na Mo ni MO.Pia HAJI sio mfanyakazi wa MO company ,wala Simba haina mkataba wa kazi na Haji,
Kwahiyo Haji alikuwa anaripoti kwa Nani? Je, Haji alikuwa akipangiwa kazi na Nani kwa makubaliano gani tangu l
Miaka sita hana Mkataba wa kazi .wewe unaweza kukaa na Mhindi kama Mo bila mkataba?
Mo kaja juzi TU, malalamiko yake angeyaelekeza kwa Mangungu angeleeweka haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…