Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali la kifara sanaWe umejuaje Kama hakukuwa na mtume mwafika?
Kachukue kiboko ufukuze mijusiKwahiyo mwingira yule Malaya na muuza ngada nae ameletwa malipizi na mungu wenu yesu Kama nabii?
Labda tapeli mwingiraKachukue kiboko ufukuze mijusi
Jibu la kitoto sanaSwali la kifara sana
Yupi huyo? Gwajima au pengo?Kuna hadi papa mweusi.
.Jibu la kitoto sana
Galilaya [emoji1787][emoji1787]Nani.. huyu ndiye anajua mke wa (....) yupo wapi?
Kwani wewe umesema mitume wa vitabu gani?Kitabu gani? Au kama unataarifa naomba unijuze mkuu kutoka popote nipate kuingiza kitu kipya kichwa nikiwa bado nipo duniani
Walikuwa bize wakicheza ngoja!Poleni na mizunguuko ya dunia na karibuni
(1) kwanini hakukua na nabii au mtume MWAFRICA
(2) Nini M/MUNGU ametuficha au kuna baadhi ya mataifa ambayo sio ya AFRICA yametuficha vitu sisi waafrica
(3) au hawa manabii na mitume wa sasa wa AFRICA M/MUNGU ametuletea kama malipizi na sisi tupate manabii na mitume kama ni kweli mbona hatuwasikilizi tunawadhalau.. na wao mbona wanaonekana kama wanaongoza ibada zao kwa tamaa na mambo yasiyo sahihi KIUUNGU
(4) labda kwa kigezo cha AFRICA tumepewa mali wao wamepewa akili;:: hapana hata wao mali wanazo tena nyingi kuliko zetu na bado wanakuja kuvuna mali AFRICA
(5) na mbona wanasema binaadamu wa kwanza mwafrica alikuwa nyani.. na wao hawakuwa nyani.. mbona hiko kizazi cha nyani cha mwafrica akiendelei au waliwakusanya wale nyani wote waliokuwa wanageuka au wanazaa binadamu wakawaua.. KUNA HAJA YEYOTE YAKUENDELEA KUTUMIA VITABU(PROTOCOL) AMBAVYO HAVINA MSINGI NA HISTORY MBAYA WALIOPAKAZIWA WAAFRICA..
Mpendwa wenu katika ujenzi wa taifa
Yesu yupi? Mwenye mke akizurura na mkewe maeneo ya galilaya kwa mujibu wa ndugai auUkweli ni kwamba hakukuwa na mtume muafrika kati ya wale mitume wa Yesu
Ila Kuna mitume walikuwa special for gentlies (watu wa mataifa ) amabao sio Israel mfano ni mtume Petro.
Kumbuka Yesu alizaliwa alizaliwa Bethlehem huko Nazareth Israel ingawa alibeba package ya Dunia nzima
Ndio maana baada ya wao kujazwa nguvu za Roho mtakatifu aliwaambia
Nendeni muwe mashahidi wa mambo haya hata mwisho wa nchi
Akikujibu nistueKwani wewe umesema mitume wa vitabu gani?
Ukristo?
Uislam?
Kwani hivyo vitabu vimetaja mitume walikuwa watu wa aina gani? Wazungu?warabu??
Kwani yesu alikuwa mtu wa rangi gani??