Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Weee huyo mme wa watu. Labda nichukue K vantKunywa mirinda nyeusi hapo kwa mangi nakuja fasta kulipa usisahau kunywa TATU.. MKUU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee huyo mme wa watu. Labda nichukue K vantKunywa mirinda nyeusi hapo kwa mangi nakuja fasta kulipa usisahau kunywa TATU.. MKUU
Wataje basi kama wapo,uAfrika wako ni wa kijinga kwani wote mnaoamini katika dini za mapokeo i.e. uislam na ukristo ni wajinga na siyo binadamu hai
Yawezekana Ila si kweli mkuu! Ni soul satisfication tuinaonesha unatokea familia ya hovyo sana mkuu
Henoko alikuwa black..Poleni na mizunguuko ya dunia na karibuni
(1) kwanini hakukua na nabii au mtume MWAFRICA
(2) Nini M/MUNGU ametuficha au kuna baadhi ya mataifa ambayo sio ya AFRICA yametuficha vitu sisi waafrica
(3) au hawa manabii na mitume wa sasa wa AFRICA M/MUNGU ametuletea kama malipizi na sisi tupate manabii na mitume kama ni kweli mbona hatuwasikilizi tunawadhalau.. na wao mbona wanaonekana kama wanaongoza ibada zao kwa tamaa na mambo yasiyo sahihi KIUUNGU
(4) labda kwa kigezo cha AFRICA tumepewa mali wao wamepewa akili;:: hapana hata wao mali wanazo tena nyingi kuliko zetu na bado wanakuja kuvuna mali AFRICA
(5) na mbona wanasema binaadamu wa kwanza mwafrica alikuwa nyani.. na wao hawakuwa nyani.. mbona hiko kizazi cha nyani cha mwafrica akiendelei au waliwakusanya wale nyani wote waliokuwa wanageuka au wanazaa binadamu wakawaua.. KUNA HAJA YEYOTE YAKUENDELEA KUTUMIA VITABU(PROTOCOL) AMBAVYO HAVINA MSINGI NA VINA HISTORY MBAYA WALIOPAKAZIWA WAAFRICA..
Mpendwa wenu katika ujenzi wa taifa
Henoko Ethiopia hapoKutokea AFRICA? au BLACK AMERICA?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alafu yulee wa gallilaya alikuwa anahamrisha tutoe mali tugawane na masikini hawa ni tofauti kabsa
Ni ujinga wa kiwango Cha SGR mwafrika mweusi kuamini dini na mapokeo ya kiyahudi,kiyunani na kiarabu Katika millennia hii,
Tena ni ujuha Kwa mtu mweusi kumwomba Mungu wa wayahudi Eti ndie aliyeumba Dunia,what a joke!
Ifike pahari watu watumie akili zao timamu kujudge vitu
Mungu na Shetani ni fiction characters walobuniwa na wahuni wachache Ili kutawala watu wengi Tena huu upuuzi umeanza Karne za juzi juzi hapo Byzantine!