Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yohana, Luka, Amosi, matendo, mathayo daudi, esta, yesu, yakobo,yuda Maria, yusufu, abeli, Musa, hayo majina yote yana asili ya kibantu kijana jiongeze wewe
Alikua jirani yko?Henoko Ethiopia hapo
Daaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa sasa M/MUNGU ndio katuletea kwa kigezo cha malipizi kwa kipindi kile aliwapa watu wa MABARA ya mbali huko now ameona hatuzawadie hawa tatizo lao hawana mifumo tu wanaenda enda tu
wewe unaonaje mkuuAlikua jirani yko?
Hapana sio sikujibu, naangalia material nikupe na link zakeMimi hautaki hata kinijibu.. MKUU
Inaonesha alikuwa jirani yko mkuuwewe unaonaje mkuu
Sana, nyumba yale na yetu zilikuwa zinatizamana.. na hata mtoto wake amesoma na mtoto wanguInaonesha alikuwa jirani yko mkuu
Hata Mimi naona, mke wake si alikuwa dada yke ndugai?Sana, nyumba yale na yetu zilikuwa zinatizamana.. na hata mtoto wake amesoma na mtoto wangu
Eeeh ndio yule yule, aah! kumbe nawe unamjua kabisaaa ☺️Hata Mimi naona, mke wake si alikuwa dada yke ndugai?
Walikuwepo, mmoja wao ni Mugo Wa Kíbirú. Mfahamu Mugo wa Kibiru au Chege(Cege) wa Kibiru, Nabii aliyetabiri ujio wa mzungu/mkoloni Afrika Mashariki
Rudia Kusoma Historia Human Ancestors wote wametokea pamoja na walianzia Africa na kufanya migration sehemu tofauti...(5) na mbona wanasema binaadamu wa kwanza mwafrica alikuwa nyani.. na wao hawakuwa nyani.. mbona hiko kizazi cha nyani cha mwafrica akiendelei au waliwakusanya wale nyani wote waliokuwa wanageuka au wanazaa binadamu wakawaua.. KUNA HAJA YEYOTE YAKUENDELEA KUTUMIA VITABU(PROTOCOL) AMBAVYO HAVINA MSINGI NA VINA HISTORY MBAYA WALIOPAKAZIWA WAAFRICA..
Mpendwa wenu katika ujenzi wa taifa
Sana na yeye pia ananijuaEeeh ndio yule yule, aah! kumbe nawe unamjua kabisaaa [emoji3526]
Rudia Kusoma Historia Human Ancestors wote wametokea pamoja na walianzia Africa na kufanya migration sehemu tofauti...
Kuhusu hizo za imani chagua unachoamini wewe binafsi Kama ni kutokea Asia utaamini walikuwa wa-Asia Afrika utaamini walikuwa waafrika (mizimu ya babu zetu) kama ni hizi Imani zilizokuja na Meli kutoka originally from Arabic countries na Israel / Palestina basi utaamini unavyoamini wewe...
Qur'an inaashiria nabii Adam alikua mweusiKitabu gani? Au kama unataarifa naomba unijuze mkuu kutoka popote nipate kuingiza kitu kipya kichwani nikiwa bado nipo duniani