Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
WOTE NYIE WATOTO TU!! Ukitaja jina neno ''Yesu'' jaribu kuwa specific!! yesu gani Mkoloni au yesu muarabu !! au yesu mmanga!! au Yesu mweusi usitu changanye sisi km ni yesu huyo mzungu ni wa wazungu tu!!
wao wako sahihi kabisa kumjua yesu wao !! tatizo ni kihererhere chenu waafrica mnajipendekeza sana kwa yesu wa wengine!!! kwanza hata mfanyeje hawatambui na haji kuwanyakua kamwe mtasubiri sana mpaka mchakae! mpaka sasa hamjui amesha kuja au bado!!
na yesu mwingine yule atakapo kuja kuwachukua walio wake haina shida!... ila nyie sasa mtasubiri weeee!! Ubungo stand! hamtamwona ng'oo!! ...... wenzenu wale wataenda kula Bata paradiso!, mpaka
wavembewe na ndo hao hao! mtawaabudu! lkn hawatakuwa na time na nyinyi! ....nakwambia mnaangamia kwakukosa maarifa!
ninacho sikitika hata ma-professor wana mwabudu yesu wa watu wengine!! tatizo la waafrica kujipendekeza na tamaa isiyoisha eti ya kuishi paradiso!!! Gwajima, Mwingira, kibwetele, kakobe nk watawageuka kimanga mpaka hamtaamini!!
km una akili tafakari chukua hatua.......chinua achebe alisemaga!!