Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

Unakuta kijana ana miaka 35-40 hajui ukoo wake anamjua babu yake mmoja tu na baba yake.. wakati alitakiwa ajue mababu zake KUMI au na zaidi waliopita huko nyuma ambayo ingemsaidia kujua DINI yake au nini afanye katika swala zima la kuabudu
We unawajua hao babu zako kumi?
 
We unawajua hao babu zako kumi?

Nashukuru nimeanza harakati na kuwafatilia kwa mababu zangu wawili waliopo na wanazidi kunipa updates na sasa nnavyokuambia nimewasoma wanne:: kama wewe unavyowasoma hao mababu zako manabii wakina YAKOBO na wenginewo
 
Ipo siku utakuja kuuliza RANGI ya Mungu

Mungu yupi? Yule sanamu aliyevunjwagwa kipindi kile au Mungu wa uhindini ng’ombe toa maelezo vizuri Miungu wako wengi sana YUPI? Unayemsemea hapo MKUU au MUNGU MZUNGU
 
Hivi sio vitu vya kuamka tu na kuvifanya vinahitaji utulivu mkubwa mkuu wa kifra..

Maana tangu nipo katoto nipo chini ya uangalizi wa wazee na wamenipeleka mafunzo ya dini na nipo vizuri siongopi? Sasa kutoka katika mafunzo hayo niliyo ya kariri tangu utotoni ni process sio nikurupuke tu
 
Sasa Kama Mungu tu haujui Ana RANGI gani.
Unaamini vipi Kama kulikuwa na mitume na manabii?
Mungu yupi? Yule sanamu aliyevunjwagwa kipindi kile au Mungu wa uhindini ng’ombe toa maelezo vizuri Miungu wako wengi sana YUPI? Unayemsemea hapo MKUU au MUNGU MZUNGU
 
Alikuwepo mtume wa kizigua pale KWAMSISI na aliasisi maajabu yake
kama ifuatavyo;
1. kwamba mjerumani alishindwa kutoza kodi na hata mwingereza pia alishindwa hadimzee mkapa hakutoza kodi ya kichwa lile eneo.

2. Pia waligoma magogo ya mapori yao kusombwa na wakoloni na waliyategea USINGA yale malori yalikuwa yakikanyaga yanakatika spring (Leaf spring) na kubaki hapo na alipotokea mzungu alikumbana na king cobra.

3. Wakati ya vita ya kwanza ya dunia na hata ya pili vijana walikuwa wanachukuliwa kwenda vitani baada ya kupimwa uzito kilo kuanzia 50 na umri kuanzia 18-50 hivyo huyo mtume aliwanywesha KOLOBWA iliyochanywa na LIKANG'AMBWA walipopimwa uzito hakuna aliyefikisha 5Kgs hivyo wengi hawakwenda vitani.

4. Aliamuru jogoo wote wachinjwe kwani walikuwa wakiwika wale wazungu walikuwa wanafata hizo sauti na kuwafikia watu ikumbukwe kipindi hicho kulikuwa hakuna vijiji kila mtu alikuwa anaishi kivyake.

5. Kiukweli mtume KIKWANYULO DIUKIZULA alale mahala pema peponi amen.
 
Sasa Kama Mungu tu haujui Ana RANGI gani.
Unaamini vipi Kama kulikuwa na mitume na manabii?

Nafikiri haujaelewa mimi na wewe hatufanyi ibada jengo MOJA... uenda una MUNGU wako ambaye haumjui ni wa rangi gani?
 
Alikuwepo mtume wa kizigua pale KWAMSISI na aliasisi maajabu yake
kama ifuatavyo;
1. kwamba mjerumani alishindwa kutoza kodi na hata mwingereza pia alishindwa hadimzee mkapa hakutoza kodi ya kichwa lile eneo.

2. Pia waligoma magogo ya mapori yao kusombwa na wakoloni na waliyategea USINGA yale malori yalikuwa yakikanyaga yanakatika spring (Leaf spring) na kubaki hapo na alipotokea mzungu alikumbana na king cobra.

3. Wakati ya vita ya kwanza ya dunia na hata ya pili vijana walikuwa wanachukuliwa kwenda vitani baada ya kupimwa uzito kilo kuanzia 50 na umri kuanzia 18-50 hivyo huyo mtume aliwanywesha KOLOBWA iliyochanywa na LIKANG'AMBWA walipopimwa uzito hakuna aliyefikisha 5Kgs hivyo wengi hawakwenda vitani.

4. Aliamuru jogoo wote wachinjwe kwani walikuwa wakiwika wale wazungu walikuwa wanafata hizo sauti na kuwafikia watu ikumbukwe kipindi hicho kulikuwa hakuna vijiji kila mtu alikuwa anaishi kivyake.

5. Kiukweli mtume KIKWANYULO DIUKIZULA alale mahala pema peponi amen.

Ukiwaeleza WATANZANIA habari hizi njema na wamiliki wakuu ni wao watakwambia USHIRIKINA ..kuna ujinga wanatusomesha mashuleni yaani siku nikikamata nchi (PROTOCOL) lazima niibadilishe.. kweli vilee
 
Back
Top Bottom