Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaposema hakukuwa na Manabii/Mitume waafrika unasema katika muktadha upi.??
Kwa kuzaliwa afrika?
Kuwa na asili ya afrika (mweusi)
Au kuhudumu Afrika?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]Sijataja dini mada imekuja kuwa WAAFRICA tumetengwa kila secta hapa duniani.. kusanya vitabu vyote unavyovijua na kuvifahamu niletee nabii au mtume mwafrica alikuwa akilima shamba gani? Na kondoo wake walikuwa na rangi gani?
M/Mungu ameona atuletee hawa kama kutuliwaza na sisi tunaolalamika hatukuletewaga mitume cha hajabu hata hatuwataki.. daah sijui tukoje
View attachment 2075214
Kwamba hadi Nabii Tito hatumtaki[emoji91][emoji91][emoji91]
Philip au Filipo na mkushi mweusi toka Ethiopia alikuwa nani?Kitabu gani? Au kama unataarifa naomba unijuze mkuu kutoka popote nipate kuingiza kitu kipya kichwani nikiwa bado nipo duniani
Yuko nabii Malisa mchagaPoleni na mizunguuko ya dunia na karibuni
(1) kwanini hakukua na nabii au mtume MWAFRICA
(2) Nini M/MUNGU ametuficha au kuna baadhi ya mataifa ambayo sio ya AFRICA yametuficha vitu sisi waafrica
(3) au hawa manabii na mitume wa sasa wa AFRICA M/MUNGU ametuletea kama malipizi na sisi tupate manabii na mitume kama ni kweli mbona hatuwasikilizi tunawadhalau.. na wao mbona wanaonekana kama wanaongoza ibada zao kwa tamaa na mambo yasiyo sahihi KIUUNGU
(4) labda kwa kigezo cha AFRICA tumepewa mali wao wamepewa akili;:: hapana hata wao mali wanazo tena nyingi kuliko zetu na bado wanakuja kuvuna mali AFRICA
(5) na mbona wanasema binaadamu wa kwanza mwafrica alikuwa nyani.. na wao hawakuwa nyani.. mbona hiko kizazi cha nyani cha mwafrica akiendelei au waliwakusanya wale nyani wote waliokuwa wanageuka au wanazaa binadamu wakawaua.. KUNA HAJA YEYOTE YAKUENDELEA KUTUMIA VITABU(PROTOCOL) AMBAVYO HAVINA MSINGI NA VINA HISTORY MBAYA WALIOPAKAZIWA WAAFRICA..
Mpendwa wenu katika ujenzi wa taifa
Ni ujinga wa kiwango Cha SGR mwafrika mweusi kuamini dini na mapokeo ya kiyahudi,kiyunani na kiarabu Katika millennia hii,
Tena ni ujuha Kwa mtu mweusi kumwomba Mungu wa wayahudi Eti ndie aliyeumba Dunia,what a joke!
Ifike pahari watu watumie akili zao timamu kujudge vitu
Mungu na Shetani ni fiction characters walobuniwa na wahuni wachache Ili kutawala watu wengi Tena huu upuuzi umeanza Karne za juzi juzi hapo Byzantine!
Manufaa ya kwanza ni kusambaza utamaduni wao wa kiarabu Kwa wamatumbi,Walioanzisha dini wananufaika vipi? Majibu na mifano yako vibase kwenye uislamu sio ukristo.
Manufaa ya kwanza ni kusambaza utamaduni wao wa kiarabu Kwa wamatumbi,
Pili iliwasaidia kwenye biashara zao tunajua wale Mabwana walileta dini Ili kuhodhi biashara ukanda huu Kwa Karne nyingi Cha kusikitisha zaidi walifanya mpaka biashara za watumwa yaani watu wanaojinasibu ni wa Mungu wanawakamata wenyeji na kuwasafirisha Hadi Nchi za kwao kwenda kua watumwa,
Tatu walileta dini Ili kuteka maeneo hii tunaita ku conquer tunaona waliweka base zao katika maeneo mengi ya afrika na kuanzisha tawala zao,
Pia mpaka Leo wananufaika Kwa kuwapiga Hela wajinga wa kimatumbi wanapoenda kuhiji makka wanawaingizia mapesa ya kutosha unaowawezesha kujenga uchumi wao Huko wewe ukiendelea kubaki maskini na ndio maana waarabu wa saudia hawana njaa Kwa kua na vyanzo vya mapato vya uhakika!
Niendelee mdau?
Mlazimishe mtu afuate utamaduni na desturi zako ili awe mtumwa wako wa kifikra, awe tegemezi wa bidhaa zako kuanzia mavazi, vyakula na aina ya starehe zako.Walioanzisha dini wananufaika vipi? Majibu na mifano yako vibase kwenye uislamu sio ukristo.
Wacha fujo kijana embu niambie kwanza mtu wa kwanza kwenye ukoo wenu alitoka wapi?Unakuta kijana ana miaka 35-40 hajui ukoo wake anamjua babu yake mmoja tu na baba yake.. wakati alitakiwa ajue mababu zake KUMI au na zaidi waliopita huko nyuma ambayo ingemsaidia kujua DINI yake au nini afanye katika swala zima la kuabudu
Kwanza kabisa una hakika huyo Mungu yupo?Poleni na mizunguuko ya dunia na karibuni
(1) Kwanini hakukua na nabii au mtume MWAFRICA
(2) Nini M/MUNGU ametuficha au kuna baadhi ya mataifa ambayo sio ya AFRICA yametuficha vitu sisi Waafrika
(3) Au hawa manabii na mitume wa sasa wa AFRICA M/MUNGU ametuletea kama malipizi na sisi tupate manabii na mitume kama ni kweli mbona hatuwasikilizi tunawadhalau na wao mbona wanaonekana kama wanaongoza ibada zao kwa tamaa na mambo yasiyo sahihi KIUUNGU
(4) Labda kwa kigezo cha AFRICA tumepewa mali wao wamepewa akili; hapana hata wao mali wanazo tena nyingi kuliko zetu na bado wanakuja kuvuna mali AFRICA
(5) Na mbona wanasema binaadamu wa kwanza mwafrica alikuwa nyani.. na wao hawakuwa nyani mbona hiko kizazi cha nyani cha mwafrica akiendelei au waliwakusanya wale nyani wote waliokuwa wanageuka au wanazaa binadamu wakawaua KUNA HAJA YEYOTE YAKUENDELEA KUTUMIA VITABU(PROTOCOL) AMBAVYO HAVINA MSINGI NA VINA HISTORY MBAYA WALIOPAKAZIWA WAAFRICA..
Mpendwa wenu katika ujenzi wa taifa