Aizna
JF-Expert Member
- Jan 3, 2022
- 1,348
- 1,652
- Thread starter
- #21
Kwani wewe umesema mitume wa vitabu gani?
Ukristo?
Uislam?
Kwani hivyo vitabu vimetaja mitume walikuwa watu wa aina gani? Wazungu?warabu??
Kwani yesu alikuwa mtu wa rangi gani??
Sijataja dini mada imekuja kuwa WAAFRICA tumetengwa kila secta hapa duniani.. kusanya vitabu vyote unavyovijua na kuvifahamu niletee nabii au mtume mwafrica alikuwa akilima shamba gani? Na kondoo wake walikuwa na rangi gani?