Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

Kitabu gani? Au kama unataarifa naomba unijuze mkuu kutoka popote nipate kuingiza kitu kipya kichwa nikiwa bado nipo duniani
Kwani wewe umesema mitume wa vitabu gani?

Ukristo?
Uislam?

Kwani hivyo vitabu vimetaja mitume walikuwa watu wa aina gani? Wazungu?warabu??

Kwani yesu alikuwa mtu wa rangi gani??
 
Walikuwa bize wakicheza ngoja!
 
Ukweli ni kwamba hakukuwa na mtume muafrika kati ya wale mitume wa Yesu
Ila Kuna mitume walikuwa special for gentlies (watu wa mataifa) amabao sio Israel mfano ni mtume Petro.
Kumbuka Yesu alizaliwa alizaliwa Bethlehem huko Nazareth Israel ingawa alibeba package ya Dunia nzima
Ndio maana baada ya wao kujazwa nguvu za Roho mtakatifu aliwaambia
Nendeni muwe mashahidi wa mambo haya hata mwisho wa nchi
So Yesu akawa Mbegu ambayo Leo hii tumekuwa mashahidi wengi wengi Sana bila kujali Rangi, Kabila, Taifa,
 
Yesu yupi? Mwenye mke akizurura na mkewe maeneo ya galilaya kwa mujibu wa ndugai au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…