Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

Vitabu havijathibitisha mkuu
 
mungu hakuumba mwafrica hao walitokea katika kizazi cha nuhu baada ya kutokumheshimu baba yao mungu akawalaani. pili manabii waafrika wapo wakina mwaposa nigeria wamejaa. unataka manabii wapi tena
 
unasema mungu baba yesu alizaliwa bethlehemu. kumbe mungu huzaliwa. kabla ya kuzaliwa mungu yesu nani alikuwa akiendesha dunia na nani aliyekuwa anaeteremsha mvua kwa makadirio na ni nani alikuwa akiwa riziki wanyama wadudu na watu kabla hajazaliwa
 
Muulizaji kabla hujapata majibu yako ebu jibu maswali haya kwanza, je kwann hakuna mitume wa jamii ya kichina, kijapan, kikorea na n.k. pia kwann hakuna mtume wa kihindi, mwingereza , mrusi, mjeruma na kadha wakadha?
 
Unaposema vitabu havijathibitisha unamaanisha vitabu vip?

Vinavyoaminika ambavyo ni vya dini zinazofuatwa hapa duniani.. au umeelewa vipi? Mkuu au una andiko lolote lime mmention nabii au mtume aliyetokea AFRICA mashariki ya kati mkuu
 
mungu hakuumba mwafrica hao walitokea katika kizazi cha nuhu baada ya kutokumheshimu baba yao mungu akawalaani. pili manabii waafrika wapo wakina mwaposa nigeria wamejaa. unataka manabii wapi tena

Hawa manabii wajanja wajanja ni wezi wa posho zetu mkuu
 
Muulizaji kabla hujapata majibu yako ebu jibu maswali haya kwanza, je kwann hakuna mitume wa jamii ya kichina, kijapan, kikorea na n.k. pia kwann hakuna mtume wa kihindi, mwingereza , mrusi, mjeruma na kadha wakadha?

Hizo pande ulizozitaja wapo manabii wao wanaowaamini na mitume wao.. ila mada imehoji kutoka kwenye vitabu tunavyoviamini na kuvifuata kama vya dini hapa duniani kwa kigezo hicho hata AFRICA basi tunao wakina mwamposa, kakobe na mtiririko wao mkuu
 
Kama na wewe unahoji kama mimi.. tushirikiane mpaka tupate majibu mkuu
 
Vinavyoaminika ambavyo ni vya dini zinazofuatwa hapa duniani.. au umeelewa vipi? Mkuu au una andiko lolote lime mmention nabii au mtume aliyetokea AFRICA mashariki ya kati mkuu

Musa Amezaliwa Afrika Akakulia Afrika Akapewa Unabii Akiwa Afrika,
 
mungu hakuumba mwafrica hao walitokea katika kizazi cha nuhu baada ya kutokumheshimu baba yao mungu akawalaani. pili manabii waafrika wapo wakina mwaposa nigeria wamejaa. unataka manabii wapi tena

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Muulizaji kabla hujapata majibu yako ebu jibu maswali haya kwanza, je kwann hakuna mitume wa jamii ya kichina, kijapan, kikorea na n.k. pia kwann hakuna mtume wa kihindi, mwingereza , mrusi, mjeruma na kadha wakadha?

Umefanya risech ukadhibitisha hawapo?
 
Hizo pande ulizozitaja wapo manabii wao wanaowaamini na mitume wao.. ila mada imehoji kutoka kwenye vitabu tunavyoviamini na kuvifuata kama vya dini hapa duniani kwa kigezo hicho hata AFRICA basi tunao wakina mwamposa, kakobe na mtiririko wao mkuu
Vilevile hata hayo maeneo manabii wao wanaowaamin hawapo ktk vitabu tunaviamin, so km utawaamin manabii wao basi nawew mwamin mwamposa
 
Mkuu ndio maana nikaielekeza hoja kwenye vitabu na dini tunazozifuata na kuziamini mkuu.. kwa hivyo kama kuna aya au ufunuo wowote waweza kutupa tufungue kitabu tujiridhishe
 
Ezekiel huyo ni Ezekiel unayemjua wewe,Ezekiel amekuja kutokea kipindi cha ufalme wa Yuda ukiwa Babeli,kulinganisha mtu aliyeishi kipindi cha Ibrahim na Kipindi cha uhamisho wa Babeli ni uchizi.

Samweli alikuwa kuhani hakuwa nabii.Unabii (Prophesying)ni kipawa kilichokuwa kinakuja na kuondoka kwa baadhi ya watu lakini sio wote walikuwa manabii.Mfano Sauli mfalme wa kwanza wa Israel hakuwa nabii lakini ukisoma habari zake utaona na yeye alitabiri (Prophesied) ambayo ndio role za manabii.

Watu mnashindwa kuwatambua watu na kudhani kila aliyeandikwa kwenye vitabu vya Mungu ni nabii hapana.Kuna waliokuwa makuhani tu,Mitume na wengine Manabii.Hata Ibrahimu,Isaka wala Yakobo hapakuwa na nabii,kuhani wala mtume kati yao.

Kitabu ulichotumia moja ya vigezo vinavyopelekea kionekane hakiko sawa ni ishu ya historical innacuracies ambayo moja wapo ni hii ya Ezekiel unayotumbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…